Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,187
1,834
Kuna jamaa yangu mmoja yeye anampenda sana mke wake, kiukweli upendo ule sijawai kuona

Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu, ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu

Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana

Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua. Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taarifa Yuko Salasala Benako Kuna mchizi anapiga mbupu kafungia ndani

Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya fujo ili kumuonesha mshikaji ubabe, kama vipi timsaule Kila kitu

Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani

Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha, huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha

Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno, yeye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wangu, mke akawa anagoma kuondoka, ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wangu siku zote umekaa nae hujatosheka tu

Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa langu lipi, kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka, kesho yake asubuhi mke akaja wakaendelea na maisha

Mimi binafsi nasema, unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi, kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
 
Majumba yanaficha mengi mno. Yule mnaeweza kuhisi mbabe kabisa ukute ndani kwake anavalishwa kibwebwe na kuchezeshwa kibinda nkoi.

As long as jamaa hambughudhi mtu mwacheni na maisha yake. Hamjui anapewa nini chumbani. SIku akipata mtaalam zaidi ataondoka aende kupiga magoti kwa mwingine.
 
Acha tu kaka Kuna masela wanakera!

Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.

Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+

Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
 
Acha tu kaka Kuna masela wanakera!

Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.

Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+

Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
4M+ kawaida tu, wala sio ya kujiliza liza.. hapo ni kujipoga kifuani na kusema hapa nimetoa bokoo 😅😅 ila sio kuanza kutoa chozi
 
Kuna jamaa yg mmoja yeye anampenda sana mke wake ,kiukweli upendo ule sijawai kukuona

Cha kwanza jamaa hana kazi maalumu Kila dili ngumu ye anapiga tu , ila anahakikisha mkewe anapata mahitaji yote muhimu

Jamaa humnunulia mkewe nguo za thamani na kumpa vitu vyote vizuri
, Cha ajabu mkewe ni kicheche sana

Tukio la ajabu Kuna siku mke aliondoka ghafla pasipo mume kujua , Sasa tulimtafuta sanaaa hakupatikana baada ya wiki tukapata taalifa Yuko salasala benako Kuna mchizi anabiga mbupu kafungia ndani

Akatuchukua ili tumpe kampani ya kwenda kufanya Fuji ili kumuonesha mshikaji ubabe , kama vipi timsaule Kila kitu

Aisee tukatoka na hasira tukiwa na silaha mbalimbali za jadi huku njiani tukijiapiza haiwezekani fala mmoja kuja kuchukua mke wa swahiba wetu na kwenda kumfungia ndani

Ebwanaaa kufika eneo la tukio ohoooo
Ile tunataka kulianzisha , huyu jamaa wetu mwenye mke akapoa tunaona mtu anapiga magoti huku anaelekea alipokaa mke wake Tena huku anaomba msamaha

Aisee tulipata hasira sana Tena jamaa alitefedhehesha mno , ye ndio kwanza anatuambua jamani acheni fujo ngoja niongee na mke wg , mke akawa anagoma kuondoka , ikabidi amwambie mgoni wake bana niachie mke wg siku zote umekaa nae hujatosheka tu

Jamaa akamjibu ongea na mkeo mi kosa lg lipi , kuongea na mkewe mke akamwambia niachie nauli ya boda nakuja kesho
Swahiba wetu akachomoa 10000 akamuachia tukaondoka , kesho yke asubui mke akaja wakaendelea na maisha

Mimi binafsi nasema ,unaweza jua umeona na kusikia vitu vingi , kumbe ni mengi hatujayajua Duniani tuvijuavyo ni theruthi tu
Na Huyo jamaa ni wewe
 
For wanaume 😃😊😃😊 wenzangu tujifunze kujipa outing hata wenyewe.......
vaa vizuri pendeza alaf kale jasho lako (Bata) kidogo sio unafanya kazi ngumu unapata pesa zote unapeleka kuhonga MWANAMKE......
Wengine hawavai kabisa pesa zote Kwa wanawake na Malaya......

Hapa nazungumza na wanaume wabangaizaji wahangaikaji ambao hatuna sekta maalum.....🤓🤓🤓🤓
 
Acha tu kaka Kuna masela wanakera!

Kuna jamaang moja tulitoka kitaa kimoja huko Geneva ya Africa katika pita pita za kusaka shillingi Mungu akamulikia tochi michongo yake ikatiki.

Akapata demu wa kitanga demu ni mkali kinoma akampa demu mtaji wa biashara 4M+

Demu alikula hela yote akaolewa na mtu mwngn
4m nayo hela ya mtaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom