Hivi kumbe wanaume nao huwa wanalia?????

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Habari zenu wana JF

Jana nimeshuhudia kihoja nyumbani kwangu kaja Jamaa mmoja (aliyenipokea huku niliko), kaanza kunililia ndani mwangu nikabaki nashangaa kulikoni? Katulia kidogo kaanza kunieleza habari za nyumbani kwake.

Ameoa 10yrs ago na mkewe walikuwa wakipendana sana lakin tabia ya mkewe imebadilika baada ya yeye kufungua baa, kila mkewe akienda baa mteja atakayemtongoza anaondoka nae na huyo mteja akishashitukiwa harudi tena, Sasa issue ni kwamba mother house kahamisha vitu vyote ndani halafu kasema hajui vilipokwenda na amebadilika ile mbaya si kama zamani kawa na jeuri ile mbaya, sasa jamaa anamuuliza mke wangu vitu vya ndani viko wapi amejibiwa kuwa mie sina mume, mume wangu ameshakufa toka juzi na sasa hivi ni mwanaume anayekuja kunichukua next weekend anasema anajibu kwa jeuri ile mbaya. Jamaa ameshindwa afanyaje sasa mke vitu kachukua ndani , jamaa anashinda analia tu hata kazini kaomba ruhusa ya ugonjwa. Jamani afanyeje katika hili mie limenichanganya sana nikasema kumbe kuna wanaume wengine wapole hivi na wanaweza kuonewa na wanawake nimeshangaa mpaka sasa. Nisaidieni
 
Kinachomtesa huyo ni udhaifu wake.....! Mwambie aache kumpenda huyo mwanamke.....! Vinginevyo, atakuwa amependa bila kupendwa, kitu ambacho ni sumu ninayoiogopa katika mahusiano maishani mwangu.....!
 
Habari zenu wana JF

Jana nimeshuhudia kihoja nyumbani kwangu kaja Jamaa mmoja (aliyenipokea huku niliko), kaanza kunililia ndani mwangu nikabaki nashangaa kulikoni? Katulia kidogo kaanza kunieleza habari za nyumbani kwake.

Ameoa 10yrs ago na mkewe walikuwa wakipendana sana lakin tabia ya mkewe imebadilika baada ya yeye kufungua baa, kila mkewe akienda baa mteja atakayemtongoza anaondoka nae na huyo mteja akishashitukiwa harudi tena, Sasa issue ni kwamba mother house kahamisha vitu vyote ndani halafu kasema hajui vilipokwenda na amebadilika ile mbaya si kama zamani kawa na jeuri ile mbaya, sasa jamaa anamuuliza mke wangu vitu vya ndani viko wapi amejibiwa kuwa mie sina mume, mume wangu ameshakufa toka juzi na sasa hivi ni mwanaume anayekuja kunichukua next weekend anasema anajibu kwa jeuri ile mbaya. Jamaa ameshindwa afanyaje sasa mke vitu kachukua ndani , jamaa anashinda analia tu hata kazini kaomba ruhusa ya ugonjwa. Jamani afanyeje katika hili mie limenichanganya sana nikasema kumbe kuna wanaume wengine wapole hivi na wanaweza kuonewa na wanawake nimeshangaa mpaka sasa. Nisaidieni

Mwambie anitafute kwa njia yeyote atakayoweza nimpe "mbinu za kijeshi" hatokaa akamlilia mwanamke katu.
 
Homa imenizidia mie, kutwa nashinda nalia..
jua linapo chomoza macho mie hunitoka.
Kisa alicho nitenda mie, sitakisahau kamwe...
Amenisha wishi nimuache mume wangu, niende kuishi naeeee...
Nimeondoka kwa mume wangu, nimeenda kwa Rehani..
Baada ya muda si mrefu, kasema niondoke sina tabia nzuri...
Mamaaa yamenikutaaa mama yameninikutaaaa...
ndugu zangu mlioo olewa mjihadhari na ...............
Wimbo ulikuwa na maana kubwa sana huo.
Habari zenu wana JF

Jana nimeshuhudia kihoja nyumbani kwangu kaja Jamaa mmoja (aliyenipokea huku niliko), kaanza kunililia ndani mwangu nikabaki nashangaa kulikoni? Katulia kidogo kaanza kunieleza habari za nyumbani kwake.

Ameoa 10yrs ago na mkewe walikuwa wakipendana sana lakin tabia ya mkewe imebadilika baada ya yeye kufungua baa, kila mkewe akienda baa mteja atakayemtongoza anaondoka nae na huyo mteja akishashitukiwa harudi tena, Sasa issue ni kwamba mother house kahamisha vitu vyote ndani halafu kasema hajui vilipokwenda na amebadilika ile mbaya si kama zamani kawa na jeuri ile mbaya, sasa jamaa anamuuliza mke wangu vitu vya ndani viko wapi amejibiwa kuwa mie sina mume, mume wangu ameshakufa toka juzi na sasa hivi ni mwanaume anayekuja kunichukua next weekend anasema anajibu kwa jeuri ile mbaya. Jamaa ameshindwa afanyaje sasa mke vitu kachukua ndani , jamaa anashinda analia tu hata kazini kaomba ruhusa ya ugonjwa. Jamani afanyeje katika hili mie limenichanganya sana nikasema kumbe kuna wanaume wengine wapole hivi na wanaweza kuonewa na wanawake nimeshangaa mpaka sasa. Nisaidieni
 
mwanaume kulia kitu cha kawida sana kwani si binadam pia jamani????we tena mwanamme alia vibaya mpaka apiga magoti utasema kaambiwa nakua leo...hahahhhaaa but makes me sad too
 
Dada Nilham, Unapenda sana Pink ehee?
Hivi hiyo picha ndio wewe halisi au ?
ni hayo tu
 
Huyo naye ovyo kama sio mmwanaume kha! ila kwa ufupi wanaume pia ruksa kulia, kwani kuna baadhi ya sumu ndani ya mwili zinaondoka tu through kulia machozi.
 
pink stands 4 girls,,,and i' muslim haki lillahi i'm nilham as nilham,,and as i wrote this 4 u allah is with me...haturuhusiwi kuonyesha nywele ama kichwa wazii..ndio mana nikatumia pictr hii,,na si hapa tuu nimebandika ni kote niwasilianapo na binadam wenzangu..uongo dhambi jamani..hata kam nina macho makubwa laikini ni mimi ya nini nijificheee???hapo twatoka burj khalifa siku ya eid l hajj juzi..
Dada Nilham, Unapenda sana Pink ehee?
Hivi hiyo picha ndio wewe halisi au ?
ni hayo tu
 
Sitaki uchokozi mie tafadhali alilie nini na wakati tunapendana sie hatuna cha kulia saa hizi mapenzi mapya wewe wivu tu utakuua

Nimekubali The Finest ni "mbishi" duh! Itabidi nimuulize Babu inakuwaje pale Baa Mpya! khaa!
 
pink stands 4 girls,,,and i' muslim haki lillahi i'm nilham as nilham,,and as i wrote this 4 u allah is with me...haturuhusiwi kuonyesha nywele ama kichwa wazii..ndio mana nikatumia pictr hii,,na si hapa tuu nimebandika ni kote niwasilianapo na binadam wenzangu..uongo dhambi jamani..hata kam nina macho makubwa laikini ni mimi ya nini nijificheee???hapo twatoka burj khalifa siku ya eid l hajj juzi..

Mweeee
 
achunguza kwani ataka nini huyo,hebu muulize na mwambie apunguze spid kidogo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom