Unashangaa urefu, hushangai haya?
Nuhu (Noah)
Nuhu aliishi miaka 950 kulingana na Biblia (Mwanzo 9:29) na Kurani. Alijulikana kwa uvumilivu wake na jukumu la kujenga Safina ya Nuhu kuokoa wanadamu na wanyama kutoka kwenye gharika kubwa.
2. Adam
Adam, baba wa wanadamu wote, alisemekana kuishi miaka 930 kulingana na Biblia (Mwanzo 5:5).
3. Methusela (Methuselah)
Methusela alikuwa mjukuu wa Henoko na babu wa Nuhu. Alitajwa kuishi miaka 969 kulingana na Biblia (Mwanzo 5:27), na ndiye mtu aliyeishi muda mrefu zaidi.
Allah akbar