Hivi kumbe kuna wanaume hutumia mapenzi ya dawa?

Hivi kumbe kuna wanaume hutumia mapenzi ya dawa?

Kwa kweli limbwata ni pesa tu, nina kamchepuko ambacho kakikohoa tu, kakipiga chafya tu, kabla chafya haijaisha vizuri muamala unapiga alarm kwenye simu yake. Sasa manjonjo ninayofanyiwa ni balaa, mimi ni tall na mwenye mwili ila chenyewe ni English figure, lakini huwezi amini kinanipokea kwa kunibeba na kunipeleka bafuni , naogeshwa, nafutwa maji , napakwa losheni, nachezewa mwanzo mwisho kuwekwa tayari kwa ajili ya kimoko kabla ya kujuliana hali..[emoji2][emoji2] !!!
Mimi nampagawisha kwa miamala, yeye ananipagawisha na papuchi yake. Tunaenda sawa...[emoji56][emoji56][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikute kazusha tu kuwa alikuwa kafungwa na mwanaume ili aonekane ni victim wakat inawezekana alikuwa kapenda na mambo yote alifanyiwa akiwa na akili zake nzuri tu
Na hili sio la kulipuuza, watu nao kwa kuunganisha story, ionekane yeye sio tatizo.
 
Uko vizuri aisee, umenifanya nimkumbuke legendary mmoja wa mastory humj, anaitwa Lara1, kama mkongwe humu utakuwa unamjua!
Kapotelea wapi huyu mkuu Lara 1, Kipindi hiko MSEZA MKULU, Faiza Fox etc walikuwa on stage kama sijakosea
 
Natamani sana hiyo dawa ila si kwa ajili ya kumfunga mwanamke, ukiipata hiyo halafu ukaifunga pesa itakua raha sana, mfano unaichezea Kwa kukesha Bar, kuhonga, Kubeti lakini bado imekung'ang'ania tu.

Kulock papuchi ni weakness kubwa sana kwa mwanaume!!
I like this idea Mkuu, usawa huu bora tu utie limbwata kwenye pesa.!!
 
100 Likes inakuelezea adje?

Nimetumia sometimes not all the times.

Siyo wote wana cases za namna hiyo, lakini wengi wanachagua majina kulingana na hobbies, tabia au namna fulani wanapenda wawe.

Mimi binafsi napenda nitoe comment ambayo watu wengi watalike, huwa kuna furaha inakuja kwamba kitu nilichoandika kimeeleweka na wengi.

Na huwa napenda sana ku-like comments pia, nadhani nitajiunga jukwaa la likes.
 
Nimekupa 100 likes Mkuu..!!😊
 
Nyie kuwapiga kudu muhimu,maana hamuaminiki,mnasumbua sana. , ila huyo jamaa mshamba alikua anamtesa angekua nae vzur tu asingempiga aliitumia kudu yake vbaya

kudu ipo asee ninoma usiambiwe, na ambae haamini hayo mambo bado hajajua mambo mengi ya hii duniA.

Write your reply...
 
Ngoja kwanza Mkuu, unamaanisha official name ndo hilo neno 'kudu'..!!?
 
Ngoja kwanza Mkuu, unamaanisha official name ndo hilo neno 'kudu'..!!?
haahaha, hamna, nimemaanisha kudu zile kamba za kufungia mabox, hyo imesimama kama kamba, na kamba ndio inatumika kumfungia mtu, hyo imesimama kama kamba za vidonga.
 
Back
Top Bottom