Hivi kumbe kuna wanaume hutumia mapenzi ya dawa?

Hivi kumbe kuna wanaume hutumia mapenzi ya dawa?

Hello guys,
Nakumbuka tukiwa O-level mwishoni, kulikuwa kuna couple moja bomba kabisa ambayo kwa akili za kipindi kile kiukweli tulikuwa tunaitamani,
Maana ilikuwa na show-off inayobamba hasa, kufuatana ilikuwa ni mwendo wa kumbikumbi, lunch time kulishana ni kawaida uzuri by the time tulikuwa kwa ile point karibu na exams hata hatufuatiliwi kivile, so we were free to mingle.!

Siku na miezi ikapita, hatmae mwaka mwingine tuko duniani huko shule ishaisha by the time..! the girl alikuwa beste angu though not that much lakini kuna ile anaweza ni trust na mambo yake,
Kaja kunitembelea, Sasa boy wake kampigia akaipokea kwa heshima na taadhima I don't really remember kama Kuna siku nimewahi zungumza na mtu kwa nidhamu kiasi kikuu namna ile.!!
I didn't mind it sababu ni watu na mapenzi yao nikajiambia tu kama mahusiano yanahitaji unyenyekevu hivii then I'm doomed, maana akili zangu zenyewe mbili mbele.!!

After a while binti akaanza kunipa kesi zisizoisha, ni ugomvi na matusi kila wakikosana kitu kidogo, Nikajitia 'Mama ushauri', shauri weeeh' najenga mahusiano ya watu, yakanifika kooni sasa maana wakigombana mvua ya matusi anayomiminwa walaqhii' ni matusi mapya, atatukanwa anzia yeye mpaka wazazi wake na hapo unakuta analia maskini hadi huruma ananifowadia zile meseji, Mie tu nisiye muhusika nahisi mtetemo wa moyo.!

Yakanishinda kwakweli nikaanza tu kumuambia mama kama yamekushinda achia ngazi huyu si mwanaume wa kuwa naye hata kama mmekosana ndo mitusi hivii?? Anaapa 'namuacha this time nimechoka' siku mbili mingi kesharudi zake bwaana mie naishia kuonekana kashwetani, ila yakimshinda atanirudia tena nitamshauri the same thing, ataapa the same thing na atarudi zake tena..!! Nikamuacha nikamuambia tu usiniletee tena hizo case kwakweli.!!

Sasa last year kafunga ndoa na mwanaume mwingine kabisa,
Hatukuwa tumeonana muda sana, mpaka this year majuzi hapo baada ya kuwa kajifungua, kaongeza karembo duniani, Katika story ndo namuuliza what happened kuhusu that guy.!!

Ndo kunielezea ilivyokuwa kumbe hayakuwa matusi tu, akavua shati kunionyesha makovu ya vipigo kachakazwa hasa, Nilistaajabu sababu hii hakuwahi nambia, kuna jino kavunjwa alituambia alianguka na pikipiki ndo anakuja kunambia alipigwa, nikabaki seriously?? Boyfriend anakuchakaza hivi na upo tu huendi pahala??
Anasema alikuwa hawezi kumuacha anamchapa hata na mikanda akirudi tu anamuomba radhi anajikuta yumooo.!!

Kuna auntie yake ndo alikuwa anamsimulia hayo maswahibu, akaingilia kati akayafikisha kwa familia, kwa mujibu wake yeye wakaenda mtafutia tiba wakakuta kumbe alikuwa kafungwa na yule mwanaume..!!
Ndo kutolewa katika hiyo dhahama na kurudi katika akili zake za kawaida..!!

Nilishangazwa sababu nilijua hii tabia wanayo tu wadada looqh' na the guy alivyokuwa innocent hafananii.
'Wonders shall never cease'..!!
Unaandika vizuri sweetheart.
 
Y'all niggas listen.

Nilivyokua form one nikakutana na binti ambaye nilikua namtongoza tukiwa la sita, la saba na ndiyo hiyo shule kaja kama second selection.

Nikaanza tena kumtokea akaendelea kukaza. Ila home anakuja kwao naenda ananipa mikasa ya bwana ake na ya maisha ya kwao. Rafiki yangu Jose akaniambia "My nigga twende Kawe kuna dawa za Kimasai"

Crew ya watu 4 tukaibuka kawe. Jose alisema dawa 1000 tukawa tumechanga ili tukinunua tugawane. Kufika tukaambiwa ile ya buku imepanda sasa ni buku 2 ila zipo za Jero.
Za buku 2 unanuia wakati wa kuoga haina haja kumshika mkono za jero lazima upake mikononi huku unanuia na ukamshike mkono mtu husika.

Tukachukua za jero 2.

Kesho yake tukakutana kwenye mikorosho tukageana kila mtu kapaka mi nikatoka kumuwinda Salma. Mikono inameremetaaaa, nanuka baby care... Nikamkuta na wenzie nikamuita pembeni kaja salamu nikampa mkono mtoto kaupokea, moyoni nasema ndege kanasa...

Basi nilivyotoka hapo nikaenda kunawa nikawa nasubiria effect ianze. Maelezo ya mmasai ni kwamba binti genye zitapanda ataniletea tunda mwenyewe lakini muda unaenda hadi muda wa kutoka shule nikasema fuc this nikamfuata. Nikamwambia "Unaonekana kama una nyege" akanishangaa akaniambia "Mambo ya kis3ng3 sipendi fala wewe"

Nikapigwa butwaa like this woman should be horny not mean as fuk. Mmasai you gon gimme back my money.

Nikashukia Makongo nikapanda gari kwenda Kawe..
 
Pole..!😀😀
 
Natamani sana hiyo dawa ila si kwa ajili ya kumfunga mwanamke, ukiipata hiyo halafu ukaifunga pesa itakua raha sana, mfano unaichezea Kwa kukesha Bar, kuhonga, Kubeti lakini bado imekung'ang'ania tu.

Kulock papuchi ni weakness kubwa sana kwa mwanaume!!
 
Back
Top Bottom