Hivi kukomboa ile ndege kweli imeshindikana?

mange katumiwa picha ya ndege yetu kesho yake tu ndege imehamishwa
hope inaelekea Kilimanjaro
 
zile mbili za kwanza mbona zilikuja fresh inamaana kuna watu ambao sio wazalendo waliwashtua wanaotudai kuwaambia kuwa tuna ndege canada waikamate na nadhani atakuwa yule yule aliyekuwa anaomba data kwa mwanyika wa acacia maana yeye furaha yake kuona jpm ana fail halafu ajabu na yeye anaishi humu humu bongo nchi ikiharibika tupo wote hila mungu ametupa jpm naamini tutafika ataruka vikwazo vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…