Yaani Salary slip unamaana Kama watanzania wakiona video ya ndege imepaki somewhere itakuwa issue? Nadhani watanzania wana Mambo mengi ya kushughulika nayo kuliko video ya ndege iliyopaki.Ngoja hiyo video ianze kusambaa ndio mtaelewa.
Kilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.
Kuleta hiyo video hapa mtandaoni nimeona inaweza kuleta ukakasi fulani ila nachosema kama hiyo clip ni ya kweli basi haipendezi kabisa hivyo tunawaomba wahusika mfanye juhudi kukomboa hiyo ndege.
Navyojua mambo ya mitandao,hiyo clip soon itasambaa tu mitandaoni na kwakweli haitaleta picha nzuri.
Ni ushauri tu.
Nimeangalia hiyo video Mkuu kwakweli nimejisikia fedheha maana haileti picha nzuri.Kwa huyo uchwara anavyotaka sifa angeshajisifia. Ukiona kimya ujue haijakombolewa.
lissu mchochezi......yes ni kweli lakini mazungumzo yameanza na tayari tumewalipa billioni kadhaa so ndege itakuja tu.watu hawa wanao ongea ongea hawana nia njema na nchi yetu...miezi ikapita kimya ..likaanzishwa zogo lingine,likaisha mara paap Lissu akachezea risasi tukasahau kila kitu.siku zikaenda kidogo mara mshahara sipandishi ng'o mpaka uchumi utakapokuwa mzuri...siku zikapita wiki zikapita mara dada wa marekani mwenye habari zinazoonekanaga za uongo akaja kuachia ndege imepaki canada..mimamacho kodo....mishahara tutapandisha tu. na haya yote yatapita tutasahau kilakitu ndivyo tulivyoumbwa watanzania.....kusahau kama havituumizi moja kwa mojaKilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.
Kuleta hiyo video hapa mtandaoni nimeona inaweza kuleta ukakasi fulani ila nachosema kama hiyo clip ni ya kweli basi haipendezi kabisa hivyo tunawaomba wahusika mfanye juhudi kukomboa hiyo ndege.
Navyojua mambo ya mitandao,hiyo clip soon itasambaa tu mitandaoni na kwakweli haitaleta picha nzuri.
Ni ushauri tu.
Aliyekuambia ndege kama haijamaliza kulipwa hairuhusiwi kwenda kwa mnunuzi ni nani?Mmevurugwa kwa sasa hamna tena cha kuandika kuhusu ndege,hamjui kinachoendelea basi mmechanganyikiwa tu.Hivi ndege kwani inapaki angani?kupaki ndege kuna maana nyingi inawezekana bado haijamaliziwa kulipiwa au bado masala ya kiufundi yanamaliziwa.
Tulieni ndege zote zitakuja tu
Hahaha 6Amesema leo tumenunua ndege sita...
Mbili zimekuja..
Nilimuonea huruma sana.
Wewe mwenyewe ulivyoandika unaungana na wengi ambao hatujui nyingine ziko wapiMmevurugwa kwa sasa hamna tena cha kuandika kuhusu ndege,hamjui kinachoendelea basi mmechanganyikiwa tu.Hivi ndege kwani inapaki angani?kupaki ndege kuna maana nyingi inawezekana bado haijamaliziwa kulipiwa au bado masala ya kiufundi yanamaliziwa.
Tulieni ndege zote zitakuja tu
Bora wewe umeingia na kusoma kilichoelezwa kuliko hawa wanaobisha tu bila kujua hiyo ndege iko katika mazingira gani.Tunachanga hela ya maturubai kwanza, tukafunike ndege yetu.
kama wewe ulivyo wa ajabuMtu anaamini habari za Mange hlf eti anaonea huruma wengine...jf ina maajabu.
Mimi nasubiri tu kuona mtakavyopaniki.
Alietuambia kua Kuna Ndege imeshikiliwa Bondi sababu ya deni tumemuona adui wa taifa,Kilichonisukuma kuleta hii mada ni baada ya kuona video mtandaoni ya ndege hiyo kwa mwana dada yule wa ughaibuni ikionyesha ndege hiyo ikiwa imepaki kiwandani.
Kuleta hiyo video hapa mtandaoni nimeona inaweza kuleta ukakasi fulani ila nachosema kama hiyo clip ni ya kweli basi haipendezi kabisa hivyo tunawaomba wahusika mfanye juhudi kukomboa hiyo ndege.
Navyojua mambo ya mitandao,hiyo clip soon itasambaa tu mitandaoni na kwakweli haitaleta picha nzuri.
Ni ushauri tu.
Tatzo hata mkienda kununua nyingine itazuiwa tenaHela ya kuikombolea inatosha kununua ndege ya hivyo na chenji inabaki..........
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tatzo hata mkienda kununua nyingine itazuiwa tena
Labda tukainunue k'koo