Hivi kuaply chuo ni lazima uambatanishe na transcpt?

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Wadau naona round ya kwanza deadline ni kesho nina chet kamili cha diploma bt sina tranacpt jee kwa mloomba vyuo kuna mahali panataka transcpt???
 
Sijui vyeti vya diploma vikoje kuhusu diploma classification-je wanaweka your GPA au inakuwa kwenye transcript? Unahitaji kuwa na andiko linalo onyesha kuwa vigezo unavyo. Mimi ninge-apply kama cheti hakionyeshi GPA basi ningewaambia GPA yangu ni ngapi. Meanwhile ningetafuta hiyo transcript kuweka mambo sawa.
 
Nimeona vijana walioomba kupitia diploma... Wanatumia avn number amabzo zinaombwa kupitia nacte
 
Back
Top Bottom