ahahahahaha! hayo ni maisha unayopaswa kupitia, kuacha na kuachwa, ni njia sahihi ya kujifunza ulimwengu, niliwahi kuacha nikawa sijahisi chochote coz mimi ndo niliacha na niliacha kwa sababu ya tapeli aliyevamia penzi langu (demu mwingine), baadae na mimi niliachwa na huyo alosababisha nimuache mwenzie, inauma kupitiliza, ndo maana wengi wanakunywa sumu, cha msingi ukiachwa jitahidi kusema kwa marafiki zako kuwa umeachwa kuliko ku'hide vitu unaumia mwenyewe rohoni mwisho unajinyonga, ahahahahahaha! dah! nikikumbuka enzi zangu nacheka maana kumbe ilikuwa ni afadhali nilivyoachwa,