Hivi kosa la CCM ni kuaminiwa na Watanzania, au ni lipi?

Tatizo ni adui namba moja 'ujinga' wa baadhi ya wananchi Watanzania kuweka ushabiki ktk mambo ya Kitaifa kama w e w
Tatizo ni watanzani kushabikia upinzani wakidhani wanssaidia maendeleo kumbe ni adui no moja kws maendeleo kama wewe
 
Mm n mwanachama wa ccm na ninakadi kabisa ila chama changu hiki kinatusahau sana wapiga kura wake katika mambo mengi sana Sijui tufanyaje.
 
Kwani CCM imekufunga kamba ili uipigie kura? Kwa nini usivipigie vyama vingine ambavyo unafikiri vitatatua matatizo yako?
 
Kama chadema na Wapinzani wengine mna shida na hilo, kwa nini msishinde kwanza uchaguzi na kuwa na Wabunge wengi ili msiburuzwe kwa wingi wa CCM?

Mkuu, mm sio mwanasiasa wala mfuasi wa chama chochote ila mm ni mpenda haki, laitani km nchi hii inafanya haki katika maswala ya kimaamuzi kwa wananchi basi nafikiri hicho chama unacho kipa sapot kingekuwa kimesha jifia.

Jaribu kutafakar tu wala usifanye kwa vitendo kitu hichi, kama Tanzania inafanya uchanguzi kama ule uliofanyika UK juzi, unafikiri CCM itakuwa wapi?, ila naomba tafakari kwa uhuru na uhalisia bila yakuingiza uafrika.
 
Hilo unasema wewe, isitoshe Zanzibar ni sehemu ndogo sana ya TZ na hata kama kuna matatizo lkn haibadilishi ukweli kwamba TZ Bara CCM imepata Wabunge sana na imeiacha Upinzani kwa mbali sana!

Kama Ni sehemu ndogo sasa kwa nini mnatumia nguvu kutawala, si muiachie tu kwa kuwa haina athari zozote
 
Mkuu, mm sio mwanasiasa wala mfuasi wa chama chochote ila mm ni mpenda haki, laitani km nchi hii inafanya haki katika maswala ya kimaamuzi kwa wananchi basi nafikiri hicho chama unacho kipa sapot kingekuwa kimesha jifia. Jaribu kutafakar tu wala usifanye kwa vitendo kitu hichi, kama Tanzania inafanya uchanguzi kama ule uliofanyika UK juzi, unafikiri CCM itakuwa wapi?, ila naomba tafakari kwa uhuru na uhalisia bila yakuingiza uafrika.

Wewe unaongea nini? Uchaguzi umeisha miezi michache iliyopita, Watanzania tumeipa CCM Wabunge 200 dhidi ya sijui 70 wa umoja wa Upinzani, Mgombea Uraisi wa CCM amemshinda Mpinzani kwa karibia 20% ya kura zilizohesabiwa, sasa ni Uchaguzi gani unaouongelea wewe?
 
Kama Ni sehemu ndogo sasa kwa nini mnatumia nguvu kutawala, si muiachie tu kwa kuwa haina athari zozote

Ni nani, wapi na lini ambapo Serikali yetu imetumia nguvu kutawala? Hivi unaelewa maana hayo maneno au unaongea tu?
 
Wewe unaongea nini? Uchaguzi umeisha miezi michache iliyopita, Watanzania tumeipa CCM Wabunge 200 dhidi ya sijui 70 wa umoja wa Upinzani, Mgombea Uraisi wa CCM amemshinda Mpinzani kwa karibia 20% ya kura zilizohesabiwa, sasa ni Uchaguzi gani unaouongelea wewe?
Naona unatumia hasira na ulazima ili ueleweke, mkuu naona nikuwache nami uniwache ili nifanye kazi zangu. Pole sna kwa anaekutumia.
 
Kumbe ulikuwa umeacha kazi zako na kuja kusurf hapa JF, watu kama nyie ndiyo hufa masikini, siku nyingine maliza kwanza kazi ndiyo uanze blah blah kwenye social media na siyo kinyume chake!
 
Hivi jamaa leo wamekugaiya bando la kiasi gani mbona unakelel kiasi hicho, hata nife unavyo jisikia hauta zidisha kitu wala kupunguza kitu, jua haya ni masha yangu wala ww hayakuhusu, fanya kazi uliyo tumwa ufe tajiri ili nikuone ukifa ufe na uatajiri wako. Jitahidi unaelekea kutunukiwa u DC.
 
Mimi ni free standing man kama ML.Kili, situmiwi wala situmii mtu yoyote bali najitolea kwa ajili ya mapenzi niliyo nayo kwa nchi yangu na watu wake!
 
Ni nani, wapi na lini ambapo Serikali yetu imetumia nguvu kutawala? Hivi unaelewa maana hayo maneno au unaongea tu?

Kufuta uchaguzi kinyume cha sheria na kupeleka majeshi ili kufanikisha uchaguzi haramu hiyo utaitaje?
 
Zanzibar ina watu milioni moja, wakati TZ Bara ina watu zaidi ya Milioni 40, hivyo huwezi kuniambia kwamba matukio ya Zanzibar ndiyo yalioinyima ukawa/chadema ushindi wa Urasi JMTZ, pamojo na na kuwa na Wabunge sawa au wengi zaidi ya CCM!
 
Hiyo haijalishi, demokrasia maana yake wengi wape, au maamuzi ya wengi, hata kwa Wazungu ni hivyo, waliomuingiza Obama Ikulu siyo matajili upper middle class, bali ni masikini yaani watu wa daraja la chini kwa USA ambao wanaishi ghetto, wengi wao hawana Elimu ya kutosha hivyo hawana uwezo wa kupata kazi za kipato cha juu ...

angalia level ya elimu ya mmarekani na ya mtanzania;hivi unadhani wakipewa elimu ya kutosha katika uchaguzi na CCM iendelee hivi unadhani its a matter of time watatoka tu katika serikali kuu...if they dont change watatoka tu,wananchi wakipata elimu bora zaidi watatoka tu unless kama watatumia power.

kuna sehemu hawajui hata kama nchi ina vyama vingi,yaani kama habari zitakapoanza kufika huko,tv, radio , simu networks, magazeti na umeme wa uhakika sehemu kubwa ya Tanzania...ccm will change for good
 
angalia level ya elimu ya mmarekani na ya mtanzania;hivi unadhani wakipewa elimu ya kutosha katika uchaguzi na CCM iendelee hivi unadhani its a matter of time watatoka tu katika serikali kuu...if they dont change watatoka tu,wananchi wakipata elimu bora zaidi watatoka tu unless kama watatumia power.,kuna sehemu hawajui hata kama nchi ina vyama vingi,yaani kama habari zitakapoanza kufika huko,tv, radio , simu networks, magazeti na umeme wa uhakika sehemu kubwa ya Tanzania...ccm will change for good
hizi porojo zinachewelesha maendeleo tuache tufanye kazi hadi 2020.
 
angalia level ya elimu ya mmarekani na ya mtanzania;hivi unadhani wakipewa elimu ya kutosha katika uchaguzi na CCM iendelee hivi unadhani its a matter of time watatoka tu katika serikali kuu...if they dont change watatoka tu,wananchi wakipata elimu bora zaidi watatoka tu unless kama watatumia power.,kuna sehemu hawajui hata kama nchi ina vyama vingi,yaani kama habari zitakapoanza kufika huko,tv, radio , simu networks, magazeti na umeme wa uhakika sehemu kubwa ya Tanzania...ccm will change for good

Kila kitu ni relative hapa Duniani, kuna Wamarekani wengi tu hawajui kusoma na kuandika vizuri, kuna Wamarekani wengi tu wanaacha Shule na kuingia mtaani, kuna Wamarekani wengi tu hawawezi kupata kazi kwa sababu hawajiriki kwa kukosa Elimu na hawo ndiyo waliompigia kura Obama, Obama hajachaguliwa na Wasomi upper middle class ya USA bali sehemu kubwa ni hao niliowataja!

Na usichiokifahamu sababu ya WatanZania kuichagua CCM siyo kwamba hawaelewi wanachokifanya kama unavyodhania bali sababu ni kwamba hatuoni Chama bora zaidi ya CCM pmj na matatizo yake yote, kwa mfano ni kwa nini Mtanzania aipigie kura chadema wakati imemsimamisha Mgombea ambaye amekataliwa na CCM kwa Ufisadi?
Ina maana sababu pekee ya Lowasa na Mr.Ziro kuhamia chadema ni kwa sababu CCM iliwakataa na siyo vinginevyo sasa ni kwa nini nimuamini mtu kama huyo? Unaweza kunipa sababu ya mimi kumuamini mtu kama fisadi Lowasa au Mr.Ziro?
Ni kwa nini hawakuhama kabla ya CCM kuwakataa kama CCM ndiyo ilikuwa tatizo? Na kwa nini chadema iliwachukuwa watu ambao miaka yote imekuwa ikiwashutumu kwa kila lililo baya hapa nchini? Unaweza kuniambia?

Sasa kulijua hilo huhitaji Elimu ya Chuo Kikuu kila mtu mwenye IQ ya kawaida ana uwezo kuona kwamba Lowasa na chadema siyo wakweli, hivyo ni bora CCM ambao nawajua hiyo ndiyo sababu kubwa ya WatanZani kuchagua CCM na wala haihusiani na jinsi unavyodhania!
 
Hapa tatizo sio watanzania kutokuwa na elimu tatizo ni chama mbadala mtu mwenye kuitakia mema tz hawezi kuwapa cdm kura akaiacha CCM. Kwa sasa ccm ni bora kuliko chadema hadi hapo kitakapopatikana chama bora kuliko ccm mageuzi ya kweli yatatokea lakini kwa sasa hakuna.
 
Kila kitu ni relative hapa Duniani, kuna Wamarekani wengi tu hawajui kusoma na kuandika vizuri, kuna Wamarekani wengi tu wanaacha Shule na kuingia mtaani, kuna Wamarekani wengi tu hawawezi kupata kazi kwa sababu hawajiriki kwa kukosa Elimu na hawo ndiyo waliompigia kura Obama, Obama hajachaguliwa na Wasomi upper middle class ya USA bali sehemu kubwa ni hao niliowataja!

Na usichiokifahamu sababu ya WatanZania kuichagua CCM siyo kwamba hawaelewi wanachokifanya kama unavyodhania bali sababu ni kwamba hatuoni Chama bora zaidi ya CCM pmj na matatizo yake yote, kwa mfano ni kwa nini Mtanzania aipigie kura chadema wakati imemsimamisha Mgombea ambaye amekataliwa na CCM kwa Ufisadi?
Ina maana sababu pekee ya Lowasa na Mr.Ziro kuhamia chadema ni kwa sababu CCM iliwakataa na siyo vinginevyo sasa ni kwa nini nimuamini mtu kama huyo? Unaweza kunipa sababu ya mimi kumuamini mtu kama fisadi Lowasa au Mr.Ziro?
Ni kwa nini hawakuhama kabla ya CCM kuwakataa kama CCM ndiyo ilikuwa tatizo? Na kwa nini chadema iliwachukuwa watu ambao miaka yote imekuwa ikiwashutumu kwa kila lililo baya hapa nchini? Unaweza kuniambia?

Sasa kulijua hilo huhitaji Elimu ya Chuo Kikuu kila mtu mwenye IQ ya kawaida ana uwezo kuona kwamba Lowasa na chadema siyo wakweli, hivyo ni bora CCM ambao nawajua hiyo ndiyo sababu kubwa ya WatanZani kuchagua CCM na wala haihusiani na jinsi unavyodhania!

let me tell u one thing shule is nothing kama informal education ipo na ukaitumia vizuri,i didnt say upinzani are better au Lowasa na wengineo are better...

uhuru wa habari wa marekani, free flow ya habari na miundombinu ya kupata habari ni mingi kuliko kwetu,wen u used marekani lazima uangalie na historia ya nchi,marekani wamepigana unyanyasaji...

wanaoimba hip pop wengi shule hakuna ila wamesoma vitabu,hadithi zipo yaani wapo exposed kwa vitu vingi ambavyo vinawapa habari...

Lowasa ni Fisadi sawa una uhakika?can you prove it?Tanzania kitu tunachoshindwa kuelewa kuna VYAMA na TAIFA.tutakapoweza kuelewa matakwa ya nchi kwanza then vyama tutafika mbali....

Mimi mwana CCM kitambo,ila nchi kwangu inakuja kwanza then chama kitafuata...sio kila kitu u have to say kizuri hata kama hakipo katika level nzuri...ccm lazima wabadilike
 
Back
Top Bottom