Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?
 
pork-06.jpg

img_3948.jpg
 
dah mkuu yaani kuitaja tu nimehisi kama vile mate yanataka kunidondoka,yaani umenitia uroho sana.kama hutumii unapitwa na mengi mkuu
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?

Acha umbea, hata wenzetu wanakula tena wao ndio wanaongoza. A simple test: Angalia siku za kutokula, viwanja vyote huwa tupu. Badilisha kauli ya wakristo
 
Nyani ngabu umemaliza yote mkuu, hiyo picha imeamsha hisia zote, ngoja nijikongoje sanaa taratiiibu nikapate ya kuchoma na safari moto.

Haaaaa haa haaaaa Mwenzio tayari nimeweka order ya kilo moja baada tu ya kuona picha hapo juu, sasa naelekea utakuta nishabugia chupa tatu za safari lager
 
Acha umbea, hata wenzetu wanakula tena wao ndio wanaongoza. A simple test: Angalia siku za kutokula, viwanja vyote huwa tupu. Badilisha kauli ya wakristo

Umbea tena, umelewa nini?
 
Haaaaa haa haaaaa Mwenzio tayari nimeweka order ya kilo moja baada tu ya kuona picha hapo juu, sasa naelekea utakuta nishabugia chupa tatu za safari lager

Picha inatamanisha sana mkuu, wasio kula hii mboga ni sawa na mwanaume asiye dindisha lol
 
Nawewe siungeenda ukaionje ndio ujue kama ni spesho kiasi gani. Usirudie kuweka thread kama hii kwenye tarehe kama hizi!!!, tunajazana mate mdomoni tuuu, wakati mifkoni hamna kitu uwe unasubiri mwisho wa mwezi, right????.
 
Back
Top Bottom