J JURGE WALYOBA Member Joined May 14, 2014 Posts 51 Reaction score 8 May 23, 2014 #1 Niliwah kuuliza kuhusiana na ili swali kua hv kipofo anaota nikajibu anaota lakin ni AUDIO ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Niliwah kuuliza kuhusiana na ili swali kua hv kipofo anaota nikajibu anaota lakin ni AUDIO ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 May 23, 2014 #2 Anaota. Kama alipofuka ukubwani anaweza kuota anaviona vitu kwa uhalisia. Kama alizaliwa kipofu, au alipofuka utotoni sana ataota hali ya upofu, mfano ameshika white can au helping hand
Anaota. Kama alipofuka ukubwani anaweza kuota anaviona vitu kwa uhalisia. Kama alizaliwa kipofu, au alipofuka utotoni sana ataota hali ya upofu, mfano ameshika white can au helping hand
B bcsolution JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 394 Reaction score 177 May 24, 2014 #3 JURGE WALYOBA said: Niliwah kuuliza kuhusiana na ili swali kua hv kipofo anaota nikajibu anaota lakin ni AUDIO ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! Click to expand... Usikufuru... hujafa hujaumbika ...ungeuliza tu swali ..hakuna haja ya kucheka...
JURGE WALYOBA said: Niliwah kuuliza kuhusiana na ili swali kua hv kipofo anaota nikajibu anaota lakin ni AUDIO ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! Click to expand... Usikufuru... hujafa hujaumbika ...ungeuliza tu swali ..hakuna haja ya kucheka...
Bahimba JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 510 Reaction score 346 May 24, 2014 #4 Nimeipend hiyo.
Bahimba JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 510 Reaction score 346 May 25, 2014 #5 Anaota lakini katika hali ya kiuhalisia zaidi.
S selemabu Member Joined May 19, 2014 Posts 46 Reaction score 10 May 27, 2014 #6 hawakupenda kuwa hivyo