Hivi kipofu akilala anaota!!!

JURGE WALYOBA

Member
May 14, 2014
51
8
Niliwah kuuliza kuhusiana na ili swali kua hv kipofo anaota nikajibu anaota lakin ni AUDIO
ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
 
Anaota.

Kama alipofuka ukubwani anaweza kuota anaviona vitu kwa uhalisia.

Kama alizaliwa kipofu, au alipofuka utotoni sana ataota hali ya upofu, mfano ameshika white can au helping hand
 
Back
Top Bottom