Kwani Tanzania ni mitaa yako tu?Mitaa tunayoishi hatukuviona hivyo vifo,
wacha ubishi wewe vifo vya Corona bongo havikuwepo kama ilivyokuwa inaaminishwa na baadhi ya watu!, wengine ilifika hatua wanasema ati wamekufa watu mia tano mara mia mbili tz hii wafe watu kitini namna hiyo tusijue.. ule ugonjwa kuna watu waliuvagaa tu kwa taarifa zisizo za kweli.Kwani Tanzania ni mitaa yako tu?
Duh mama kizi kwa hili apewe sifa zake tukwa yule kizimkazi tungesikia nene;kifo ni kifo tu ila mwanagu abduli nampenda na mchengwera
Nakubaliana na wewe ,ila uzuri mmoja kipindi hicho nilikua kwenye sekta ya afya nafahamu kwa undani wakewacha ubishi wewe vifo vya Corona bongo havikuwepo kama ilivyokuwa inaaminishwa na baadhi ya watu!, wengine ilifika hatua wanasema ati wamekufa watu mia tano mara mia mbili tz hii wafe watu kitini namna hiyo tusijue.. ule ugonjwa kuna watu waliuvagaa tu kwa taarifa zisizo za kweli.
Na mi niliielewa serikali ya wakati huo iliamua ikae kimya na isitoe takwimu ili isikae inabishana hovyo kufuata mkumbo wa baadhi ya watu na nia zao!.Nakubaliana na wewe ,ila uzuri mmoja kipindi hicho nilikua kwenye sekta ya afya nafahamu kwa undani wake
Kwema wakuu,
Najaribu kuwaza tu hata hili deni lingekuaje, hali ya jamii pia
Na vipi kuhusu nyanda zingine.
Nawaza tu usichukulie serious sana