Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio?

Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio?

Uliza uelekezwe kiaz ww
Sio unashauti shauti kipuuzi
nikifanya marejeo ya mada naona wew upo mbali sana na aina zote za mafanikio, kwenye pesa 0 kwenye elimu nakupa -0

muhimu; ukiwa una type connect your thumb with your brain!
 
Kweli hapa n kupatwa kwa Uzi
Kumsaidia MTU sio kipimo cha mafanikio

Unaweza kuwa na mafanikio na usimsaidie mtu ko swala la kusaidiana lipo tu katka jamii na ni continuously
Umeanzisha thread lakini hujui kuiendesha thread,ngoja tukuache na thread yako,But jaribu kujitafakari japo kidogo tu na hasa hiyo comment yako namba 37 jinsi unavyojibu wachangiaji kwa lugha isiyo na staha.
 
Mafanikio ni kuwa na furaha kila siku iendayo!
Mafanikio ni mara ngapi umeanguka na ukasimama tena
Mafanikio ni kuwa na amani ya moyo na furaha ya kudumu
Kuna watu wana kazi lakini toka mwaka uanze hajawahi kuwa na furaha, wengine walipata furaha mwaka mpya na christmas basi baada ya hapo kila siku analia.

kinachowanyima furaha umbali kati ya hapo ulipo mpaka unakotaka kwenda.
 
We commend kutokana na maada husika kama huna chakuchangia siukae kimya au nmekupigia simu unisaidie kufafanua iy maada
Nyie wabongo sjui mpoje huwa hamkubali mpitwe na vitu
Sio kila kitu unapaswa kutoa maon yako
Mkuu GO IN PEACE
 
Mafanikio ni kuwa na furaha kila siku iendayo!
Mafanikio ni mara ngapi umeanguka na ukasimama tena
Mafanikio ni kuwa na amani ya moyo na furaha ya kudumu
Kuna watu wana kazi lakini toka mwaka uanze hajawahi kuwa na furaha, wengine walipata furaha mwaka mpya na christmas basi baada ya hapo kila siku analia.

kinachowanyima furaha umbali kati ya hapo ulipo mpaka unakotaka kwenda.
I THANK A LOT AND GOD BLESS YOU

MUCH RESPECT
Kumbe unaweza kuwa na Pesa nyingi lakn huna furaha
Inanipasa kubadili mtizamo Wang up to now
 
nikifanya marejeo ya mada naona wew upo mbali sana na aina zote za mafanikio, kwenye pesa 0 kwenye elimu nakupa -0

muhimu; ukiwa una type connect your na p aawith your brain!
Na ndo maana nikaleta kwenu huh Uzi
Ili nipate kuelekezwa lakn baadhi yenu MNAKERA SANA
Na hapa sio swala la kuanza kunipa zero
Unatoa we kama nan???!!?!!!;!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kipimo sahihi cha mafanikio ni: kiasi gani umefikia malengo ya ndoto yako ya ulivyotaka uwe, basi! Sahau mambo mengine yote kama hayakuwa kwenye orodha ya ndoto yako
umejibu vizuri sana mkuu. mana kila mtu ana ndoto yake, so unapofikia ndoto yako ndo mafanikio yako hayo.
 
Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio??!!

Kati ya MTU mwenye Pesa nyingi sana au MTU mwenye Elimu ya juu sana??!!

Je,ulishawai kukutana au kufundixhwa na walimu matajili wangapi??!!

Au unawajua matajili wangapi walio ajiliwa??!!

Kwamaoni yangu kipimo sahihi cha mafanikio ni Pesa na sio elimu
Nipe mtazamo wako........
kwanza sahau kuusu pesa pia kuusu elimu mana vyote hivyo havina mwisho nani alishatafuta pesa akasema inatosha.
 
kwanza sahau kuusu pesa pia kuusu elimu mana vyote hivyo havina mwisho nani alishatafuta pesa akasema inatosha.
Mkuu huyu mleta mada hawezi kukuelewa hata kidogo,japo umemjibu vizuri sana,

Mleta mada amekariri kua mafanikio ni Pesa na elimu tu! Mawazo mgando aliyonayo ndio yanayomtesa,ameleta uzi na sisi tunajaribu kumsaidia ila anajitoa ufahamu na kuanza kuwajibu wachangiaji mbovu mbovu,

Uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo unapokua mdogo ndio mwisho wake ni kutukana watu kisa tu hawafikiri kama unavyofikiri wewe!
 
Imani yako imekuponya
 
Mafanikio ni accomplishment (Yaani ukifanikiwa kumaliza / ku achieve ulichoanza / unachotaka kufanya) basi wewe umefanikiwa thus unaweza kuwa tajiri ambaye hajafanikiwa sababu ulijitahidi kupata elimu ukashindwa au unaweza ukawa na Elimu lakini haujafanikiwa kupata utajiri (it that is what you want);

Back
Top Bottom