Hivi Kilimpata Nini Rose Mhando

Namfahamu tu kwa kumuona kwenye luninga
ila naona dada rose alijikweza, na ukijikweza sikuzote lazima Mungu akushushe.
 
Sante Clouds kwa kunisikia,

Mmempa Airtime leo na Sunday Shangwe,,
Nimemuona kwa tv siku mbili hivi ndani ya wiki hii pale upendo tv akihojiwa, naona wanataka jina lake lirudi.. [emoji91]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…