Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,486
Panzi wanakata miche yangu sana..
Naomba unitajie majina ya hizo dawa za panzi..
Mkuu nishasahau hata majina...sikumbuki Kama ni Attackan au ni dawa gani! Nenda tu dukani kaulize...kilimo chema