Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 258
- 567
Mkuu kumbe walikutana bills?Mwanamke mlevi hafai kabisa kuoa Wala kuweka ndani Kimasihara.,
Hachelewi kukudhalilisha zikimpanda kichwani.
Kama huamini muulize Mzee Abdul kilichomkuta na Yule Dem wake aliemuokota mbowe club(billicanaz)
Ni kama kupanda mwendo kasi au daladala huku ukijipanga kununua usafiri wako binafsi ukishindwa kujipanga ndo utaishia kutozwa nauli kila siku na usumbufu JuuMarafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?”
Swali langu: Hivi kwanini wanaume wanapenda nasty girls yani wale ambao hawana aibu mfano anaweza akakatika viuno hapo au akavaa nguo kuonekana sexy maybe vitaiti au short pensi zile mapaja au maziwa kidogo yawe wazi yaonekane.
Na boys huwa wanawapenda madem kama hao yani wenye swaggs, clubs wanazijua zote mahoteli makubwa wanayajua. Unakuta katika mahusiano huwa wanajenga na hao huku akiwa anatafuta demu mwingine alietulia...
Na unakuta anakuja kuoa mdada hana habari ya kidimbwi wala sio mambo yake hayo wala wine hanywi anavaa simple tu.
Huwa mnataka nini wanaume? Mwanamke mwenye tabia zipi em leo kuweni wakweli. Funguka!
Wewe ni nani kwanza?Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?”