Kila nikifikiria kuoa roho inasita

Dormant Account

JF-Expert Member
Apr 5, 2022
11,418
32,516
Kila nikifikiria kuoa roho inasita kila nikipata mwanamke nikimwambia fanya hivi tukiwa kitandani anafanya hata kama alikuwa hanywi pombe nitamwambia kunywa atakunywa.

Mkiwa Sita kwa sita ukimfanya chochote atakubali tu.

Nikifikiria kabla ya kuwa na mm huwa wanafanya hvyo hvyo pia kwa wanaume waliokuwa nao

Au ndyo nisimchunguze sana samaki?

Mwaka huu nilikuwa nataka kabsa kuoa au nioe afu nipate michango ya harusi huko makazini kwenye vikundi afu nimkimbize mke
 
Ukimchunguza sana Bata hautomla....

Chagua chagua wee ila siku utaangukia kwenye mikono ya atakayekufanya wewe ufanye chochote
 
Ukipata wa kukuroga na kukupa limbwata lile la hatuzimi data!, ndugu utaoa na siku ya harusi mpaka utalia,ubwabwa tutakula mtatupigia na zile nyimbo za "mlisema haolewi mbona kaolewa!".
Sisi tutawachora tu,tukisubiri baadae muanze kutusumbua kutatua migogoro ya ndoa yenu!

Kikubwa uhai dunia inamafundi wake.
 
Kama unataka ambaye hana mapungufu basi umba wako...

Unavyofunua sketi za wadada wengi inaonyesha wewe mwenyewe unamapungufu...
 
Kila nikifikiria kuoa roho inasita kila nikipata mwanamke nikimwambia fanya hivi tukiwa kitandani anafanya hata kama alikuwa hanywi pombe nitamwambia kunywa atakunywa.

Mkiwa Sita kwa sita ukimfanya chochote atakubali tu.

Nikifikiria kabla ya kuwa na mm huwa wanafanya hvyo hvyo pia kwa wanaume waliokuwa nao

Au ndyo nisimchunguze sana samaki?

Mwaka huu nilikuwa nataka kabsa kuoa au nioe afu nipate michango ya harusi huko makazini kwenye vikundi afu nimkimbize mke
Wewe ndo shida. Mwanamke anashawishiwa anakubali kwa sababu anakupenda. Na mengine ukute anayafanya ili kukurudhisha tu
 
Kila nikifikiria kuoa roho inasita kila nikipata mwanamke nikimwambia fanya hivi tukiwa kitandani anafanya hata kama alikuwa hanywi pombe nitamwambia kunywa atakunywa.

Mkiwa Sita kwa sita ukimfanya chochote atakubali tu.

Nikifikiria kabla ya kuwa na mm huwa wanafanya hvyo hvyo pia kwa wanaume waliokuwa nao

Au ndyo nisimchunguze sana samaki?

Mwaka huu nilikuwa nataka kabsa kuoa au nioe afu nipate michango ya harusi huko makazini kwenye vikundi afu nimkimbize mke
Nawewe ni mwananchi wa Samia suluhu? 😒
 
Kama ni hilo la kumgeuza kila upande unaotaka ukiwa 6 by 6 ndilo linalokufanya uogope kuoa umekosea sana. Hilo dogo sana,kuna uwezekano hata ukimuoa hilo lisikuumize hata robo. Yapo mambo ambayo hujayawaza kabisa ndio yatakayoukuumiza kwenye ndoa. Hata hilo la kumgeuza utakavyo unaweza usilipata akiingia kwenye ndoa.

Angalizo pia kama unauwezo wa kutooa milele,utakuwa umeepuka strees na mambo mengi sana yatakayokuua haraka. Japo ni ngumu kuelewa kwamba kuoa si jambo la lazima au la muhimu. Kwa vyovyote mpaka uingie,ndio hapo inakuja majuto ni mjukuu.

Mara nyingi nawaambia kama unaweza kutooa. Jipange vizuri kifikra usioe kabisa.
 
Nakazia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom