Hivi kila mwanaume anataka kuoa mwanamke ambaye haendi club wala hanywi pombe?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
566
Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?”

Swali langu: Hivi kwanini wanaume wanapenda nasty girls yani wale ambao hawana aibu mfano anaweza akakatika viuno hapo au akavaa nguo kuonekana sexy maybe vitaiti au short pensi zile mapaja au maziwa kidogo yawe wazi yaonekane.

Na boys huwa wanawapenda madem kama hao yani wenye swaggs, clubs wanazijua zote mahoteli makubwa wanayajua. Unakuta katika mahusiano huwa wanajenga na hao huku akiwa anatafuta demu mwingine alietulia...

Na unakuta anakuja kuoa mdada hana habari ya kidimbwi wala sio mambo yake hayo wala wine hanywi anavaa simple tu.

Huwa mnataka nini wanaume? Mwanamke mwenye tabia zipi em leo kuweni wakweli. Funguka!
 
Tunaoa ili kuanzisha familia na kuingia kwenye jukum la kuwa mama na baba.

Sasa ww unawaza pombe na kujirusha club utapa wap mda wa kutengeneza familia na kuwa mama bora?

Kila mwanamke anauwezo wa kuwa mama ila sio kila mwanamke anaweza kuwa mama bora
Na kila mwanamke ana uwezo wa kuolewa, lakini sio kila mwanamke anauwezo wa kuyaishi maisha ya ndoa.

Wanaume wengi tunapenda kuoa mtu mwenye uwezo wa kuishi maisha ya ndoa na kuwa mama bora kwa familia kitu ambacho madem wapenda pombe na club hawana
 
Mimi hao wanaoonekana miyeyusho ndiyo mambo yangu. Sitaki goma ambalo kichupa kikijaa anashindwa kukwambia, yaani usipomwambia wewe utashangaa mmemaliza mwaka hamjawekana.
 
Hili nalo ni swali??

Hata wanawake wenye akili hawataki mwanaume anaewaza bata kila weekend..

Hakuna mtu anaetaka life partner anawaza pombe na clubs kila wiki...

Sababu hamtaenda clubs maisha yenu yote

Kuna kwenda clinic..shule za watoto
Kuongea na walimu..jumuia..na kadhalika
Hili nalo swali?
 
IMG_3873.jpg
 
Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?”

Swali langu: Hivi kwanini wanaume wanapenda nasty girls yani wale ambao hawana aibu mfano anaweza akakatika viuno hapo au akavaa nguo kuonekana sexy maybe vitaiti au short pensi zile mapaja au maziwa kidogo yawe wazi yaonekane.

Na boys huwa wanawapenda madem kama hao yani wenye swaggs, clubs wanazijua zote mahoteli makubwa wanayajua. Unakuta katika mahusiano huwa wanajenga na hao huku akiwa anatafuta demu mwingine alietulia...

Na unakuta anakuja kuoa mdada hana habari ya kidimbwi wala sio mambo yake hayo wala wine hanywi anavaa simple tu.

Huwa mnataka nini wanaume? Mwanamke mwenye tabia zipi em leo kuweni wakweli. Funguka!
Ni kama kupanda mwendo kasi au daladala huku ukijipanga kununua usafiri wako binafsi ukishindwa kujipanga ndo utaishia kutozwa nauli kila siku na usumbufu Juu
 
Unapoamua kuoa hapo unawachagulia wanao mama Bora kwao watakaejivunia kua nae mda wote Sasa ukienda kuoa mlevi hawezi kua mama Bora kwahyo utakua umewapoteza watoto wako kiujumla
 
Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?”

Swali langu: Hivi kwanini wanaume wanapenda nasty girls yani wale ambao hawana aibu mfano anaweza akakatika viuno hapo au akavaa nguo kuonekana sexy maybe vitaiti au short pensi zile mapaja au maziwa kidogo yawe wazi yaonekane.

Na boys huwa wanawapenda madem kama hao yani wenye swaggs, clubs wanazijua zote mahoteli makubwa wanayajua. Unakuta katika mahusiano huwa wanajenga na hao huku akiwa anatafuta demu mwingine alietulia...

Na unakuta anakuja kuoa mdada hana habari ya kidimbwi wala sio mambo yake hayo wala wine hanywi anavaa simple tu.

Huwa mnataka nini wanaume? Mwanamke mwenye tabia zipi em leo kuweni wakweli. Funguka!
Wewe ni nani kwanza?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom