Hapo unapotosha jamii, sina uhakika kama unafanya hivyo makusudi au bila ya uelewa.Katiba ya Zanzibar kuhusiana na GNU inazungumzia zaidi uwiano wa kura na mgawanyiko wa madaraka.Sifikirii kama kuna mpuuzi anaweza andika katiba ya namna hii kama maelezo yako.
Pili katiba ya muungano haijavunjwa wala haijaguswa.Naamini kabisa kuwa pengine hakuna ulazima wa aina yoyote wa kureflect mabadiliko yaliofanywa Zanzibar mwaka 2010.
P:S
**Watanganyika au watanzania mnatakiwa mufocus na mambo mengine.Mbowe nadhani ametoka nje ya hoja katika suala la madai ya katiba na GNU.Zipo sababu za msingi za kudai katiba mpya, lakini sio GNU.