Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Achaaa ujinga wee chaga empirechagga empire ndio itatawala dunia, mark my words
Kuna ukweli juu ya hili la Roman Empire ndio hao hao roman Catholic tangu zamani kumbuka story ya Mfalme Henry wa uingereza alitaka kuoa mke wa pili akaomba kibali kwa papa akamtosa akaruhusu bible itafsiriwe kwa lugha tofauti na kilatini kilichompata alikionaKatik Pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu MAREKANI NA UTAWALA WA ROMAN EMPIRE NDANI YA KANISA KATOLIKI .
WAPO WENGINE WANAFIKIA HATUA WANASEMA KIONGOZI YOYOTE AU RAISI YOYOTE AMBAE ANAENDA KINYUME NA ITIKADI ZA ROMAN ANAWEZA ONDOLEWA AU KUUWAWA.
WAPO WANAOSEMA ROMAN KATOLIKI CHINI YA ROMAN NDIO ANA NGUVU YA KUTAWALA DUNIA
NA WENGINE WANASEMA MAREKANI NDIO BABA WA DUNIA
HEBU WANA JF NAOMBENI MAWAZO YENU KUHUSU UTAWALA WA ROMAN EMPIRE KATIKA HII DUNIA NA MAREKANI
.
Na vipi kuhusu nguvu za kidunia na kijasusiKuna ukweli juu ya hili la Roman Empire ndio hao hao roman Catholic tangu zamani kumbuka story ya Mfalme Henry wa uingereza alitaka kuoa mke wa pili akaomba kibali kwa papa akamtosa akaruhusu bible itafsiriwe kwa lugha tofauti na kilatini kilichompata alikiona
Huo ni mfano mmoja ila Roman Empire ipo imevaa koti la kidini na ndio wanaopanga watawala duniani
Mkuu naomba nikuulize swali ivi unataka kuniambia SERIKALI YOYOTE PALE DUNIANI ILIPO.Ni uzi mzuri sn unataka details za kina but kwenye hii dunia c kila tukionacho ndo kilivyo, kuna Siri nyingi Na wanazozijua Ni wachache ili watutawale, Roman wana power Na Ni mjasusi kitambo ili watawale dunia huwa wanatumia viongoz wa kisiasa wafanye wanayotaka hata Bible iliwatabiri...
Mkuu naomba nikuulize swali ivi unataka kuniambia SERIKALI YOYOTE PALE DUNIANI ILIPO.
HUWA INA UHUSIANO GANI NA KANISA LA ROMA
Kiongozi upo vIzuli sana lakini naomba kukuuliza ivi kuna tofauti gani kati ya ROMAN EMPIRE NA KANISA KATOLIKIHuwa kuna michezo wanafanya mfano, US anaenda sambamba Na matakwa ya Roma katika kulinda interest zao, Roma hawez kwenda nchi za kiarabu Kama Saudi Arabia ili apande mbegu zake sababu italeta religion conflict , so atamtumia Nani? Lazima nchi za ulaya including US wafanye hiyo mishe, huku nchi zikijua zinafanya Na US huku zikitekeleza interest za Pope Na US or European countries , ndo mana Ni kiongoz wa dini ila akija katika nchi anapokewa kisiasa ( kiserikali)