Nadhan kwasababu tu za kisiasa ndio maana alikatwa jina lakini nikuhakikishie tu kwamba bado ana ushawishi ndani ya jimbo lake kuliko hata mbunge aliyopo
Nilikuwa namkubali aina ya mashati yake aliyokuwa anafanya pamoja na kutembea na ilani ya CCM muda wote na kuwataka wote wawe nayo na kuisoma yote wakati ule ni waziri wa Mambo ya Ndani..
Hivi huu mtindo wa kuja hapa JF na kuanzisha Uzi kuwa Fulani yupo wapi? Mbona naona hauna tija.Ukifahamu kuwa analima mahindi, au maharage au anavua samaki au anauza baa itakusaidia nn?
Kuna nyuzi nyingi humu za nani yupo wapi? JF ni sehemu ya kuleta strong thread zenye impact kwenye jamii. Sio sehemu ya kuuliza fulani yupo wapi? Uzi tayari
Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa😂
Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule
Yeye ndiye sliyeresha kusafiri usiku msbasi ya sbiria. Slusema nchi ina jeshi na silaha zote halafu wansnchi wanashindwa kuwahi shughuli za kiuchumi kuogopa majambazi, nooo. Ndioo sehemu tstanishi nakumbuka mabasi yakawa escorted na polisi. Again xikaxuia kidogo lkn yakareshwa tena hd sasa maisha yanaendelea.
Mcheza dogoli muandamizi,yule jamaa yangu yuko ndani ya DUNGA GROUP la kule UK na UJITANI ukanda wa KIBALA BUNDA na wana tamasha pale BUKIMA MAJITA juma lijalo.