Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 14,972
- 35,044
Ile video inachekesha sana 😀Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!!![]()
Ile video inachekesha sana 😀Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!!![]()
Mwehu yuleNinawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802
Kumbuka alitokea huko huko polisiKangi alikua Kisha Anza kulirekebisha jeshi la polisi.
Angebaki Leo Polisi ingekua bora sana kiutendaji na kuacha kunyanyasa wananchi.