GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,030
Wakwezi woooooote ni wanyamwezikiweza kupanda mnazi na kuchuma karafuu ndio watamjuwa kuwa kweli ni Mzanzibari.Akaribishwe
Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....
1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa
3. Kula Chakula pamoja na Watu wa Hali ya chini Zanzibari akiwa katika Mkeka na Kunywa nao Maji yasiyochemshwa vile vile
4. Endesha Baiskeli na Vespa Viunga vyote vya Zanzibari huku akiwa hataki Kulindwa na Watu wa aina yoyote ile
5. Ijua Mitaa yote ya Unguja na Pemba (Zanzibari) kuliko hata ile ya Kwao Mkurunga Mkoani Pwani
6. Roho nzuri mno ambapo ukibahatika tu Kukutana nae na ukijitambulisha Wewe ni Mzanzibari anakupa Pesa
7. Penda kwenda pia Visimani kama Wazanzibari wengine wengi ili Kuchota nao Maji tena wakati mwingine akiwa anapekua tu
Na Mimi ninavyowajua Wazanzibari hasa wale wa kule Kisiwani Pemba wanavyompenda Hussein Ally Mwinyi watampa tu Kura zao zote kwa 100%.
Hivi kwao ni Mkuranga eeh ?. Ijua Mitaa yote ya Unguja na Pemba (Zanzibari) kuliko hata ile ya Kwao Mkurunga Mkoani Pwani
hahahahahaaaaaaa . . . aisee wewe umenikoshaAkakae jela japo siku moja na wale masheikh wa Uamsho hapo atakuwa mzanzibari
Mtanganyika ? Ile si ni breed ya Zanzibar ?Hana lolote huyo Mtanganyika
ahahahaaahaa hatari sanaAkiweza kupanda mnazi na kuchuma karafuu ndio watamjuwa kuwa kweli ni Mzanzibari
Kumbe anapesa kiasi hichoJamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....
1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa
3. Kula Chakula pamoja na Watu wa Hali ya chini Zanzibari akiwa katika Mkeka na Kunywa nao Maji yasiyochemshwa vile vile
4. Endesha Baiskeli na Vespa Viunga vyote vya Zanzibari huku akiwa hataki Kulindwa na Watu wa aina yoyote ile
5. Ijua Mitaa yote ya Unguja na Pemba (Zanzibari) kuliko hata ile ya Kwao Mkurunga Mkoani Pwani
6. Roho nzuri mno ambapo ukibahatika tu Kukutana nae na ukijitambulisha Wewe ni Mzanzibari anakupa Pesa
7. Penda kwenda pia Visimani kama Wazanzibari wengine wengi ili Kuchota nao Maji tena wakati mwingine akiwa anapekua tu
Na Mimi ninavyowajua Wazanzibari hasa wale wa kule Kisiwani Pemba wanavyompenda Hussein Ally Mwinyi watampa tu Kura zao zote kwa 100%.
Unamtafutia kifo mwenzio wewe kuvuna karafuu sio shughuli ndogo au kupanda mnaziAkiweza kupanda mnazi na kuchuma karafuu ndio watamjuwa kuwa kweli ni Mzanzibari.Akaribishwe vyakula vya asili vya visiwani akiweza kula watajuwa kweli ni mwenzao.
Lakini ikiwa hajui kuchambua karafuu na hawazi kupiga goti kula wali na hajui kuogelea pwani basi akae pembeni amfuate aliyemtuma kwani hawezi kujuwa ladha ya wavipendavyo wazanzibari na shida zao.
Wazanzibari wote wake kwa waume wana sifa hizo,ama zote au angalau moja wapo.Na hii ya kuchuma karafuu ndio kiboko yao lakini wapo akinadada wanaweza pia.Itakuwaje Hussein Ali asiwe na hata sifa moja.Unamtafutia kifo mwenzio wewe kuvuna karafuu sio shughuli ndogo au kupanda mnazi