GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
Jamaa ( Hussein Ally Mwinyi ) ana.....
1. Cheza sana Karata au Bao na Wazanzibari huku akiwa hata hana Wasiwasi na Ulinzi ( Usalama) wake walivyo wengine
2. Tembelea Masoko yote ya Zanzibari na Kusikiliza Shida zao zote tena muda mwingine akiwa ameketi Sakafuni kabisa
3. Kula Chakula pamoja na Watu wa Hali ya chini Zanzibari akiwa katika Mkeka na Kunywa nao Maji yasiyochemshwa vile vile
4. Endesha Baiskeli na Vespa Viunga vyote vya Zanzibari huku akiwa hataki Kulindwa na Watu wa aina yoyote ile
5. Ijua Mitaa yote ya Unguja na Pemba (Zanzibari) kuliko hata ile ya Kwao Mkurunga Mkoani Pwani
6. Roho nzuri mno ambapo ukibahatika tu Kukutana nae na ukijitambulisha Wewe ni Mzanzibari anakupa Pesa
7. Penda kwenda pia Visimani kama Wazanzibari wengine wengi ili Kuchota nao Maji tena wakati mwingine akiwa anapekua tu
Na Mimi ninavyowajua Wazanzibari hasa wale wa kule Kisiwani Pemba wanavyompenda Hussein Ally Mwinyi watampa tu Kura zao zote kwa 100%.