ardhi imeuzwa kwa makubariano ya wananchi na uongozi husika Wa mtaa na mama ana ushahidi wote.
Hizi ni siasa za kipuuzi, umefanya mauzo mbele ya watu ili kupata umaarufu lakini Nina uhakika huyo mama hata mngempeleka mahakama ya Lumumba atawagaragaza. lakini najuwa lengo lako ulitaka uonekane unatumbua ila ukweli unaujuwa huyu mama kwa maelezo pamoja na maelezo ya kuunga unga ya watu wanaomtuhumu, hana hatia
nawasilisha.
yapo mengi tutayaona
= makubaliano
Nilichoelewa ni kwamba mtu katiwa ndani kwa amri ya raisi wa jiji. Utawala wa mizuka
Hili li nchi langu bora nimelihama kwa muda. Hawa wapuuzi Mungu anawaona.tena mizuka kweli kweli
Hili li nchi langu bora nimelihama kwa muda. Hawa wapuuzi Mungu anawaona.
Mungu akubariki sana huko ulikoHili li nchi langu bora nimelihama kwa muda. Hawa wapuuzi Mungu anawaona.
Mkuu,hata wewe?wewe si ni kada mwenzio huyu?Hivi kuna watu wanafuatilia hayo maigizo!? Bora niangalie Isidingo kuliko hayo maonyesho.
Diwani wa samanga ccm sijawahi ona vukaiSo sad, this is not fare for sure, chuki zitaongezeka sana ndani ya jamii yetu baina ya tawala na tawaliwa. Mfano Mombasa UKONGA ni CCM m/kiti anachofanya hakuna kabisa hakuna vikao wala mrejesho wowote, mbona hakutumbuliwa? Hii ziara imekaa kimajungumajungu
Hata ww ?? duuh bc sawa na hongera kwa kuliona hiloHivi kuna watu wanafuatilia hayo maigizo!? Bora niangalie Isidingo kuliko hayo maonyesho.