Hivi kama siyo siasa za kijinga, huyu mama alikuwa na kosa gani la kuwekwa ndani?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Nimefuatilia maelezo ya mama na mwenyekiti Wa mtaa aliyewekwa ndani na mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam nimebaini vitu kadhaa ambavyo vinasikitisha hasa katika mstikabari Wa uongozi na viongozi Wa serikali

1. maelezo yaliyokuwa yanatolewa na mama yanajitosheleza hivyo mpaka mkuu Wa mkoa anafikia hatua ya kutoa amri kwa mama Huyo awekwenp ndani sikuona sababu ya kumtia hatiani.

2. mama amekubali kuwa kiwanja kimeuzwa lakini kwa makubaliano na wananchi pamoja na wajumbe na ametaja na tarehe ambapo kulifanyika vikao vilivyobariki uuzwaji Wa ardhi hiyo.

3 mama anajaribu kumuelewesha mkuu Wa mkoa kwa umaridadi kabisa kuwa eneo limeuzwa na pesa IPO, na diwani analijuwa hill na diwani huyo alishiriki katika vikao vyote.

4. Baadhi ya wajumbe ambao wanaonekana kuwa wanachama Wa chama cha mapinduzi ( mmoja kavaa tisheti ya chagua magufuli) wanajaribu kubisha kwa hoja za kuungaunga eti wao huwa hawashirikishwi eti wanaoshiriki ni wajumbe watatu. hoja dhaifu.

polisi wanaamuriwa wamkamate. mpaka hapo sikuona sababu ya kumkamata maana ardhi imeuzwa kwa makubariano ya wananchi na uongozi husika Wa mtaa na mama ana ushahidi wote.

Hizi ni siasa za kipuuzi, umefanya mauzo mbele ya watu ili kupata umaarufu lakini Nina uhakika huyo mama hata mngempeleka mahakama ya Lumumba atawagaragaza. lakini najuwa lengo lako ulitaka uonekane unatumbua ila ukweli unaujuwa huyu mama kwa maelezo pamoja na maelezo ya kuunga unga ya watu wanaomtuhumu, hana hatia

nawasilisha.
 
ardhi imeuzwa kwa makubariano ya wananchi na uongozi husika Wa mtaa na mama ana ushahidi wote.

Hizi ni siasa za kipuuzi, umefanya mauzo mbele ya watu ili kupata umaarufu lakini Nina uhakika huyo mama hata mngempeleka mahakama ya Lumumba atawagaragaza. lakini najuwa lengo lako ulitaka uonekane unatumbua ila ukweli unaujuwa huyu mama kwa maelezo pamoja na maelezo ya kuunga unga ya watu wanaomtuhumu, hana hatia

nawasilisha.

= makubaliano
 
So sad, this is not fare for sure, chuki zitaongezeka sana ndani ya jamii yetu baina ya tawala na tawaliwa. Mfano Mombasa UKONGA ni CCM m/kiti anachofanya hakuna kabisa hakuna vikao wala mrejesho wowote, mbona hakutumbuliwa? Hii ziara imekaa kimajungumajungu
 
Diwani wa samanga ccm sijawahi ona vukai
 
waziri mkuuu ana akili sana kwa kuwaonya viongozi juu ya adhabu wanazo toa. ..
 
  • Thanks
Reactions: dtj
sheria ilisomwa na mama anaijua vzuri..kuwa m/kiti haruhusiwi kujihusisha na uuzaji wa ardhi!.lakini pia tukumbuke waliomshtak ni wananchi siyo makonda jaman! mbona kila kitu lawama tuuu? naiman km mama hana makosa yoyote ataachiwa huru kabisa..ila km kuna sehem kazingua hili litamuhusu tu maana hakuna namnaa
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom