Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,024
Kama mada inavyo jieleza hapo juu hivi vyama vyetu vya siasa vinaandaa kweli nakuwachuza ikiwa nipamonja nakuwafunda viongozi wake ilikuja kushika madaraka makubwa hapo badaye? Naogopa uyu aliyepo akiondoka unaweza nshagaa rais anayefata ni waitara.