Hivi Kama nchi tumejiandaaje na Distributed Ledger Technology (DLT)

Hivi Kama nchi tumejiandaaje na Distributed Ledger Technology (DLT)

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
501
Reaction score
525
Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali sana na kuona ni jinsi gani siku za karibuni USD haitakuwa tena reserve currency ya duniani. Kuna mipango mkakati wa iliyonyuma ya IMF kufanya SDRs (Special Drawing Right) kuwa ndio reservce currency ya dunia. Sasa nguvu kubwa ya Marekani imetokea mojawapo kwa kuwa ni reserve currency ya dunia wanuwezo wa kuchapisha tu fedha nawaziadhirike kiuchumi na ndio maana wameweza kuwa na deni la $Trilion 9 na bado hawanyumbishi. Ila baadhi ya global elite wanataka kubadilisha hili na mwaka huu kabla ya July 1 inasemekana wanataka full operations ya SDR na DLT kuwa full fledge kitu ambacho kinaweza kuitetemesha uchumi wa dunia kama tunavyoujua sasa . Na vilevile inaweza kuleta the big Giant kunyumba ambayo itasababisha nchi nyiningine kunyumba kidogo. Kwa habari za kina kuhusu hili tembelea link hizi Special Drawing Right (SDR)
https://cointelegraph.com/news/imf-...s-on-regulating-distributed-ledger-technology
Najiuliza kama nchi tunachukua hatua gani kukabiliana na haya mabadiliko ili yasitukute off guard yaana wakati reserve yetu ni kwenye dollar itabidi tuipunguze maana kunauwezekano mkubwa kuwa USD itashuka sana dhamani. Pili tutafute wataalamu wa mambo haya yote ya crypocurrency na technologia ambazo zinatishia kubadilisha mambo na vilevile tuone kama tunaweza kuwa na sheria na taratibu za kuziembrace mapema kwa manufaa ya nchi yetu.
Nawakilisha
 
Mwaka 2008 wakati bitcoin inaanzishwa, ilijitokeza fursa ya kujipatia sarafu kwa kuchimba (mining) kupitia computer bure. Wachache waliamini wakachimba ila wengi walipuuzia kwa kuwa hazikuwa na thamani ya pesa (monetary value) kwa wakati huo. Wale waliochimba wamenufaika kwa kuuza sarafu walizochimba.

Miaka 14 baadaye imejitokeza tena fursa ya kujipatia coin za RENEC kwa kufanya mining.

1. Kujisajili na kuchimba ni bure.
2. Hakuna ulazima wa kumuunga mwenzako.
3. Coin ikizinduliwa waweza kutoa pesa kwa njia ya simu au benki.

Kama upo willing, nicheki DM kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga njoo DM ni buure bila hata 50

Pia waweza kutembelea ukurasa wa instagram Heisslyman Msaba
 
Uzi ni mfupa mkavu hakuna aliyethubutu kuinua mdomo kuchangia
 
Ka
Hasa wale chawa pro wa kijani..wengi ni weupe sana..wanachojua ni kusema eti kaupiga mwingi..hovyo kabisa.

Vitu vya msingi vya uchumi wa nchi hawaelewi kitu.

#MaendeleoHayanaChama
Kazi kusifia tu ili wapate kula
 
Back
Top Bottom