KONGOSHO awe waziri asiye na wizara maalum, sababu za kumpendekeza ni kutokana nayeye mwenyewe kutokueleweka na anafit sehemu zote. MNAOMKUBALI SEMENI NDIYOOOOO
Pasinge tosha..Kila mtu mjuaji kila baada ya kutangazwa baraza la mawaziri....wanapiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu...bunge linavunjwa..wanachagua tena so hakuna ambacho kingefanyika zaidi uchaguzi na maandamano.....
KONGOSHO awe waziri asiye na wizara maalum, sababu za kumpendekeza ni kutokana nayeye mwenyewe kutokueleweka na anafit sehemu zote. MNAOMKUBALI SEMENI NDIYOOOOO