Jamani kuna tetesi kwamba jimbo la kahama litakuwa na majimbo matatu ambayo ni msalala,kahama mjini,na ushetu.je hili linalozungumzwa mtaani ni la kweli wadau?naombeni msaada.
inawezekana sababu hizo ni halmashauri tatu tofauti,Halmashauri ya Mji wa kahama imezaa(sina hakika unasahihi wa neno hili)halmashauri 2,halmashauri ya Ushetu na msalala!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.