Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,356
- 37,171
Foleni balaa HukuAaaah mi bdo bado
Foleni balaa HukuAaaah mi bdo bado
😀😀 Naachaje kaka ,unataka usiku nianze kutetemeka kama jenereta la mjerumani ?Ngoja tuvute subra....vipi Leo hatupigi maji ya mu Italia..😁
True kaka 😊 lazima mwili upewe pole kaka.😀😀 Naachaje kaka ,unataka usiku nianze kutetemeka kama jenereta la mjerumani ?
Napiga maji hivi sio muda nitakuwa kwenye kiglocery cha dada mmoja namtongoza sasa miaka miwili ananikataa, kanipa mualiko ati ni siku yake ya kuzaliwa hivyo kutakuwa na ofa ya bia nne kwa kila atakayehudhuria ,sasa nimeona niwahi mapema nipige nisepe kabla mambo hayajawa mengi si unajua tena sasa hivi ni mwendo wa road to road kukesha si kukesha ,amri si amri kikubwa D9 ipite watu wakapumzike na familia zao
Aseeh changamoto ya Jiji letu usiku na jioniFoleni balaa Huku
Nimefika nipo hapa napiga konyagiiii ndogo moja then niende nyumbani KUJUMUIKA na familiaAseeh changamoto ya Jiji letu usiku na jioni
Familia muhimu sana, vipi wanaendeleaje machalii ?Nimefika nipo hapa napiga konyagiiii ndogo moja then niende nyumbani KUJUMUIKA na familia
Wapo poa ma twins wangu now wamekua asubuh wanakuja niamsha na kunisumbua sumbua nikiwa natoka NALILIWA..Familia muhimu sana, vipi wanaendeleaje machalii ?
Hongera kwa twins, hata mm ni mshirika wao... Tuna nguvu ya kipekee baina ya twinsWapo poa ma twins wangu now wamekua asubuh wanakuja niamsha na kunisumbua sumbua nikiwa natoka NALILIWA..
Wewe ni pacha pia...mama angu pia ni MAPACHAHongera kwa twins, hata mm ni mshirika wao... Tuna nguvu ya kipekee baina ya twins
Ndiyo bruh 😂Wewe ni pacha pia...mama angu pia ni MAPACHA
Hongera sana ,watunze wapende wafanye watimize ndoto zao .Wapo poa ma twins wangu now wamekua asubuh wanakuja niamsha na kunisumbua sumbua nikiwa natoka NALILIWA..
Hahaha 😂🤣.BILA kusahau KATERELO
Kaka ndege unaijua katereroooHahaha 😂🤣.
Yaani kule kagera ninachokijua ni matoke na senene tu.Kaka ndege unaijua katererooo
Huko kagera Kuna kitu KINAITWAGA SHUNTAMAA
#SHUNTAMAA
Wahaya kama wapo humu watatolea ufafanuzii