Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 149
- 259
Tukianza na vita vya Tanzania na Uganda, ajari za meli kama MV Bukoba, ajali ya ndege pamoja na matetemeko ya ardhi "HIVI KAGERA KUNANINI?"
Kwani KABANGA iko Mkoa gani?Tukianza na vita vya tz na uganda, virusi vya ukimwi vilikoanzia, ajari za meli kama mv bukoba, ajari ya ndege pamoja na matetemeko ya ardhi "HIVI KAGERA KUNANINI?"
Kwaiyo hii nayo ni mada?Tukianza na vita vya tz na uganda, virusi vya ukimwi vilikoanzia, ajari za meli kama mv bukoba, ajari ya ndege pamoja na matetemeko ya ardhi "HIVI KAGERA KUNANINI?"
Umesahau JANGA Li itwalo "IBANGULAMABATI""Tukianza na vita vya tz na uganda, virusi vya ukimwi vilikoanzia, ajari za meli kama mv bukoba, ajari ya ndege pamoja na matetemeko ya ardhi "HIVI KAGERA KUNANINI?"
Nazungumzia matukio yaliyowai kutokea huko kagera kama ajari miaka ya huko nyuma sio sasaKwani kumetokea nini
Kaka umeianza wikiendi mapema sana aiseeUmesahau JANGA Li itwalo "IBANGULAMABATI""
BILA kusahau KATERELO
Haaahaa 😂 kaka pochi limenona ngoja tuka mwagilie moyoKaka umeianza wikiendi mapema sana aisee
Kikubwa furaha itawale familia .Haaahaa 😂 kaka pochi limenona ngoja tuka mwagilie moyo
Ndugu yetu sijui yupo salama ningejua ninge chukuaga namba zake..Kikubwa furaha itawale familia .
min -me sema hata hai nijue uko salama ndugu
Ni kosa ambalo najutia mpaka kesho kutochukua namba ila shida nilikuwa mwanaye sana ila harakati zake hapa jamvini nilimhisi ni mtu tunaejuana naye sana maana kuna mambo alikuwa akisema kuhusu mimi ni mulemule, nikawa nawaza kama ni yule ninayemuhisi sikutaka basi ajiridhishe ni mimi ni hapo hata namba sikuchukua ila itoshe kusema nilikosea sana sijui yu wapi mwamba ila kama yupo salama litakuwa jambo jema sanaNdugu yetu sijui yupo salama ningejua ninge chukuaga namba zake..
Tulikua washikaji sanaa sio KAWAIDA kabisa kabisa
Ipo kagera mkuuKwani KABANGA iko Mkoa gani?
Kwema DrUmesahau JANGA Li itwalo "IBANGULAMABATI""
BILA kusahau KATERELO
Mimi tuli elewana sababu ya DAMUnina Bloodline ya kichaga kutoka kwa mama..Ni kosa ambalo najutia mpaka kesho kutochukua namba ila shida nilikuwa mwanaye sana ila harakati zake hapa jamvini nilimhisi ni mtu tunaejuana naye sana maana kuna mambo alikuwa akisema kuhusu mimi ni mulemule, nikawa nawaza kama ni yule ninayemuhisi sikutaka basi ajiridhishe ni mimi ni hapo hata namba sikuchukua ila itoshe kusema nilikosea sana sijui yu wapi mwamba ila kama yupo salama litakuwa jambo jema sana
Kaka salamaleko, uhali gani? Ndio nipo kwa usafiri narejea kiotaniKwema Dr
Wacha tujipe muda maybe atakuja kutupa hiMimi tuli elewana sababu ya DAMUnina Bloodline ya kichaga kutoka kwa mama..
So inanitokeaga baadhi ya watu tunakua wa shikaji kama tulijuanaga zamani..
Kuhusu namba Huwa mpaka nijiridhishe sana ndipo hutoa namba zangu kwa mtu wa humu wapo wachache sana wenye namba zangu
Aaaah mi bdo badoKak
Kaka salamaleko, uhali gani? Ndio nipo kwa usafiri narejea kiotani
Ngoja tuvute subra....vipi Leo hatupigi maji ya mu Italia..😁Wacha tujipe muda maybe atakuja kutupa hi