Hivi Job Ndugai anaikumbuka Hii Picha Kweli

Mtu poa kama ukimuunga mkono kwa lolote atakalofanya.

Liwe baya au zuri.

Ukienda kinyume nae aidha kwa kumkosoa kumpa ushauri tofauti na atarajiavyo au kuhoji jiandae kuumia.

Muulize Lissu atakwambia.
Ata Chacha Wangwe analifahamu ilo.
 
Kama mihimili Ikiwa tofauti, unataka Hadi viongozi wa mihimili wasisalimiane?? Wakae wameogopana siyo
 
Kusema ukweli toka moyoni kila ninapokutana na picha za enzi ya uhai wa JPM

moyo unauma,raha inakata,furaha inatoweka simanzi huruma vinajaza moyo wangu

sijui hii hali itanichukua muda gani ila naamini utafika wakati nitaweza zitazama tena picha zake,nikiwa na tabasamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…