Hivi Job Ndugai anaikumbuka Hii Picha Kweli

Mtu poa kama ukimuunga mkono kwa lolote atakalofanya.

Liwe baya au zuri.

Ukienda kinyume nae aidha kwa kumkosoa kumpa ushauri tofauti na atarajiavyo au kuhoji jiandae kuumia.

Muulize Lissu atakwambia.
Raia wa Ubelgiji mpaka leo amepoteza mwelekeo yaani dish limecheza hajui aanzie wapi
 
Tuna viongozi wa mihimili wasio na kumbukumbu. Unaweza Nikawa Sahihi Kwamba Ndugai ana Kumbukumbu Kwamba Katoka Wapi na HayatiView attachment 1753971
Huu ulikuwa ni utatu haramu na baada ya nguzo kuu ya huu utatu kusambaratishwa bila shaka sasa Watanzania tutaweza kupumua tena na kuishi kwa amani 👍
 
Back
Top Bottom