Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...
mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent

mkuuu pamoja na mm hakuna anayenijua but siwezi kuabuse au mazungumzo machafu kwa sababu siwezi tukana japo kua situkani na sitegemei .......kimtokacho mtu ndo kilicho mjaa hao ndo maisha yao ya kila siku tusijidanganye
kama upo kweny blind area huwezi jitambua but sie wengine tunakujua
wengine unaweza sema ninawajua wanafanya nn kuanzia asubuhi mpaka usiku kwa sababu ya kusema mambo yao .....wanaji expose sana usiwateteee
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...
mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent
Nadhani kupitia posts humu unaweza kumsoma mtu uwezo wake kichwani, tabia, na mazingira aliyo pia. Tones zao, lugha na maneno wanayotumia na wanapoyatumia, namna wanavyo-interact na watu, ni rahisi sana kujua yupi wa kumuepuka na yupi anajielewa. Ni kweli wapo wanaojitoa 'ufahamu' ili kuburudisha na kuburudika, ila bado class haijifichi.
Kuna wanawake wanaojielewa vizuri tu humu, ila ni wachache sana, sana. Vivyo hivyo kwa upande wa pili.
exactly my point....
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume,wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bhana hamna kitu...Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.
UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF.