Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,581
Ni mtu makini na hapepesi! Ni genge tu la wachache wasiotaka kumuelewa japo anaeleweka! Wameamua tu kuto muelewa!anaitibuaga serikali huyo mzee wa raia mwema........hiyo ni real name yake

Hivi na paschal mayala ni mhaya mana anajisikia sana na kujiona yeye ndo mwandishi peke yakehahahahahhah hata ukopro hakuupata mhaya mhamiaji huyu wa mleba
anaficha jina lake halisi na kuweka swager za vijana nadhan aliwahi kuwa mbunge na RC pale morogoro kabla uraia wake kuleta mushkel na ccm ya mzee chemkapa kumzingua
ni mkosoaji mkubwa wa serkal tangu walipo mzingua na gazeti lao la RAI nguvu ya hija ambalo analimiliki rost tamu azizi
kimsingi hilo ni jina alijipa kama swager za kuhaya si unajua wahaya kwa mbwembwe watani zangu hawa
cc
pasco mayalla
Jina lake ni Jenerali Ulimwengu sio General.Mara nyingi nasikia wakimuita generali ulimwengu sasa mi huwa sijui hilo jina ni utani au ni real!
Mwingine ni lowasa wanamuita captain lowasa sasa ni captain wa jeshi mataafu au ni jina tu alipa?
Ulimwengu sio mhaya, ana asili ya kitutsi kama sijakosea.hahahahahhah hata ukopro hakuupata mhaya mhamiaji huyu wa mleba
anaficha jina lake halisi na kuweka swager za vijana nadhan aliwahi kuwa mbunge na RC pale morogoro kabla uraia wake kuleta mushkel na ccm ya mzee chemkapa kumzingua
ni mkosoaji mkubwa wa serkal tangu walipo mzingua na gazeti lao la RAI nguvu ya hija ambalo analimiliki rost tamu azizi
kimsingi hilo ni jina alijipa kama swager za kuhaya si unajua wahaya kwa mbwembwe watani zangu hawa
cc
pasco mayalla
Pascal Mayalla njoo huku wanakupiga majungu, mimi najua wanakusingiziaHivi na paschal mayala ni mhaya mana anajisikia sana na kujiona yeye ndo mwandishi peke yake
Mbona unaonekana unamaumivu makubwa na kichefu-chefu kiiingi! Lamba ndimu basiihahahahahhah hata ukopro hakuupata mhaya mhamiaji huyu wa mleba
anaficha jina lake halisi na kuweka swager za vijana nadhan aliwahi kuwa mbunge na RC pale morogoro kabla uraia wake kuleta mushkel na ccm ya mzee chemkapa kumzingua
ni mkosoaji mkubwa wa serkal tangu walipo mzingua na gazeti lao la RAI nguvu ya hija ambalo analimiliki rost tamu azizi
kimsingi hilo ni jina alijipa kama swager za kuhaya si unajua wahaya kwa mbwembwe watani zangu hawa
cc
pasco mayalla
Hakuna kabila la watutsi ila wapo watutsi na wapo wahutu. Ulimwengu kama sijakosea anatoka katika hizi wilaya kati ya Ngara au Karagwe lakini anazo chembe chembe za ututsi ndani yake.haku
hakuna kabila linaitwa asili ya kituts
wewe mtoto mdogo sana humjui jeneral ulimwengu kama humuheshimu kwakuwa anaikosoa serikali mheshimu kwa umri wake.hahahahahhah hata ukopro hakuupata mhaya mhamiaji huyu wa mleba
anaficha jina lake halisi na kuweka swager za vijana nadhan aliwahi kuwa mbunge na RC pale morogoro kabla uraia wake kuleta mushkel na ccm ya mzee chemkapa kumzingua
ni mkosoaji mkubwa wa serkal tangu walipo mzingua na gazeti lao la RAI nguvu ya hija ambalo analimiliki rost tamu azizi
kimsingi hilo ni jina alijipa kama swager za kuhaya si unajua wahaya kwa mbwembwe watani zangu hawa
cc
pasco mayalla
Duh.Mzee kwa post hii inaonekana kama una personal 'ego' na jamaa!.Hivi na paschal mayala ni mhaya mana anajisikia sana na kujiona yeye ndo mwandishi peke yake
Anaitwa jenerali khalifan ulimwengu
Kichwa sana sana huyu...Anaitwa jenerali khalifan ulimwengu
Mara nyingi nasikia wakimuita generali ulimwengu sasa mi huwa sijui hilo jina ni utani au ni real!