Hivi Jenerali Ulimwengu alifikia hicho cheo?

Niliwahi sikia huyu jamaa anatokea ile nchi jirani na mkoa wa Kagera na Kigoma
 
Naomba kujuzwa eti hivi huyu Generali Ulimwengu aliwah kuwa jesheni na kupata cheo hiko au ndo cheo cha kujiita tu kama Inspector haroun wa gangwe mob?
siyo mwanajeshi ila kama vijana wengine wazalendo wakati ule alishiriki kwenye vita vya kumng'oa Idi Amin kutoka ardhi ya Tz mnamo miaka ya 1978. huko ndiko alikokuwa nicknamed na colleagues wake kama "Jenerali" kutokana na umahiri wake katika vitu vingi wakati wa vita vile.

jina lake ni Twaha Ulimwengu.
 
Mkuu umechimba
 
Naona viongozi wetu wa Africa wanapata busara baada kutoka madarakani ilikuwa kwenye kigoda mwalim nyerere mlimani mbele mkapa hiyo watu weweeeeeeeee.....
 
siyo mwanajeshi ila kama vijana wengine wazalendo wakati ule alishiriki kwenye vita vya kumng'oa Idi Amin kutoka ardhi ya Tz mnamo miaka ya 1978. huko ndiko alikokuwa nicknamed na colleagues wake kama "Jenerali" kutokana na umahiri wake katika vitu vingi wakati wa vita vile.

jina lake ni Twaha Ulimwengu.
Jina lake halisi ni Twaha Khalfan!
 
Back
Top Bottom