Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,955
- 156,155
Kuna madhala kuandika jina hilo???? Mi naona poa tu, ili mradi wakazi wa mwananyamala wanapata maji...maisha yanaendelea!! Au likiandikwa jina lake halisi bomba litatoa maziwa??
ndo wabongo tulivyo uncle yani wanataka akumbukwe kwa jina hilo ambalo ni jepesi maana wangeandika jina lake halisi wabongo wangeharibu kabsa"shon korey kata"Shawn Corey Carter
Kweli Therengeti Mamushka unawajua wabongo walivyo.
sasa wa kutoka kwenye kabila ketu ndio wamezidi.
Salome wanaita Salume,
Francis wanaita Falanchisi,
Humphrey wanaita humpule,
Modesta wanaita Mondesta,
yaani raha kwelikweli
hahahah wewe ni kakaangu thi tumetoka kijiji kimoja bujibujiKweli Therengeti Mamushka unawajua wabongo walivyo.
sasa wa kutoka kwenye kabila ketu ndio wamezidi.
Salome wanaita Salume,
Francis wanaita Falanchisi,
Humphrey wanaita humpule,
Modesta wanaita Mondesta,
yaani raha kwelikweli
Mradi huo ungezinduliwa na Puff Daddy (wa enzi hizo) inamaana kila baada ya miaka kadhaa wangefuta jina la mgunduzi ku-reflect jina lake la kiusanii?? Jamani matumizi ya mabano kwenye sentensi yamekuwa magumu namna hii siku hizi?
Btw mkuu, hiyo issue ya bomba kutoa maziwa au maji mimi nadhani ni tofauti kabisa na swala linaloongelewa hapa, unless unataka kuwaziba tu midomo watu wasihoji.
Inawezekana kabisaa...Point yangu inabaki palepale, jina is not a big deal kwa wakazi wa pale! Kama maji yanatoka, inatosha!! Ukiona ni issue sana mwambie Mwamvita Makamba akafute Jay Z na aweke Shawn Carter!!
Naomba niulize swali wakuu...hizi kuweka majina ya waliofungua miradi inasaidia nini? Pengine hapa ndo ninapo miss mantiki ya hoja yako!!
Inawezekana kabisaa...
Kwani pahali popote pale palipoandikwa "mradi huu ulizinduliwa na..." au "jengo hili lilizinduliwa na..." hakuna mantiki yoyote ile tena, maana wale walioamua kufanya hivyo watakuwa wameelekeza nguvu zao zaidi kwenye protokali za uzinduzi badala ya kujua iwapo 'maji yanatoka au hayatoki' au jengo 'lina madirisha na milango au halina'.