Kwa baadhi ya taasisi hususani za kibenki mara nyingi wanataka 3.5 or above.Wakuu nimemaliza bachelors degree kwa overall gpa ya 2.5,nltaka kujua je itaniathiri katika kupata ajira endapo ntahitaj kuajiriwa,maana kwa sasa nipo naendesha biashara yang kwanza
Mkuu swali ni je Kichwani mwako una GPA ya ngapi?Unaweza kuwa GPA ya 4. lakini ubongo ukawa na GPA 1. na ukawa na paper GPA ya 1. na ubongo ukawa na GPA ya 5.Wakuu nimemaliza bachelors degree kwa overall gpa ya 2.5,nltaka kujua je itaniathiri katika kupata ajira endapo ntahitaj kuajiriwa,maana kwa sasa nipo naendesha biashara yang kwanza
Yes haza za kwenye AC, ila kazi za siasa uweze kubwabwaja tu kama POLEPOLE NA BASHIRU .Wakuu nimemaliza bachelors degree kwa overall gpa ya 2.5,nltaka kujua je itaniathiri katika kupata ajira endapo ntahitaj kuajiriwa,maana kwa sasa nipo naendesha biashara yang kwanza
Hakuna uhusiano wa gpa na kazi
Hii ni stereotypeHata ukiwa na GPA 4.5 kama huna connection utasota sana kitaa mzee.
Hakuna uhusiano wa gpa na kazi
Yes haza za kwenye AC, ila kazi za siasa uweze kubwabwaja tu kama POLEPOLE NA BASHIRU .
Abdul Nondo ana heshma kwenye jamii kuliko Bashiru, yaani BASHIRU na BAKWATA kitu kimoja, hawana heshma, wamedhalilisha sana umma.Yaani leo hii Dr Bashiru amekuwa wa kudhihakiwa namna hii, haya maisha haya!
Mkuu GPA ina-matter sana kwenye mashirika Mauna, ila serikalini hakuna masuala ya GpAWakuu nimemaliza bachelors degree kwa overall gpa ya 2.5,nltaka kujua je itaniathiri katika kupata ajira endapo ntahitaj kuajiriwa,maana kwa sasa nipo naendesha biashara yang kwanza