Hata ukiwa na GPA 4.5 kama huna connection utasota sana kitaa mzee.
Naona umemgeuka hapo mwishoni 😆Mkuu swali ni je Kichwani mwako una GPA ya ngapi?Unaweza kuwa GPA ya 4. lakini ubongo ukawa na GPA 1. na ukawa na paper GPA ya 1. na ubongo ukawa na GPA ya 5.
Kitu cha muhimu unapoomba kazi hakikisha unatengenzea CV inayoshawishi,Unaandika barua inayoshawishi na kama ukiitwa kwa interview una hahakikisha Unajiuza kadiri au zaidi ya uwezo wako.Hata hvyo GPA nzuri inaweza ongeza uwezekano wa wewe kupata au kukosa kazi kwa kutegemea fani,kampuni etc.
Nakutakia kila heri ila kwa GPA yako ya 2.5 mimi naweza kukuajiri kama unaweza kunishawishi kwama utaweza ku add value kwenye biashara yangu.Next time uliza hili swali kabla ya kuhitimu na sio baada ya kuhitimu kwani unakuwa umechelewa