Mimi ninavyojua walivyoambiwa siasa za kitaifa wamwachie mku wa nchi nilielewa kwamba majimboni kwa mbunge moja moja haina tatizo. Sasa mbona hatuwaoni kwenye magazeti wakihimiza mambo mbalimbali kwa wananchi majimboni mwao? Kwa mfano sisi wa Kibamba jimbo la John Mnyika ndo hata tumeshasahau kama ni mbunge wetu.
Musitususie majimbo njoo mutwambie munafanya nini na mipango ya kufikia 2020 ni nini. Au munasemaji wana JF?
Musitususie majimbo njoo mutwambie munafanya nini na mipango ya kufikia 2020 ni nini. Au munasemaji wana JF?