Hivi jairo yuko wap siku hiz?

Pafyum

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
211
Reaction score
113
hiv jamana Jairo yuko wp saiz? manaake tuliskia kapewa likizo kupsha uchunguz na baadae akateuliwa katibu mkuu mwngne but hatujui Jairo yuko wp!
 
hiv jamana Jairo yuko wp saiz? manaake tuliskia kapewa likizo kupsha uchunguz na baadae akateuliwa katibu mkuu mwngne but hatujui Jairo yuko wp!

Yupo na Blandina Nyoni uswahili wanataka kuanzisha SACOSS

 
Yuko iringa.. Juzi tulikutana dukani ananunua mbolea ya kupandia
 
Alistaafu kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi wa umma.
Vipi, unataka kumpa dili?
 
Anatanua kitaa na vimwana!wanatumia vizuri zile hela walizokusanya/iba.
 
Mada ni nzuri lakini unatupa taabu kutamka hiyo ID yako sisi wenye wake
 
Amechukua kizimba pale mchikichini, anauza mitumba
 
(Jairo) Unataka kunipa kazi?
Nisaidie ntaku pm
au nipigie kwenye 0755098159
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…