Kama ni pombe atakuwa mdogo wake Magufuli..
Ila kama ni Jack pemba basi ni mbongo mfanya biashara anaishi Kampala.. Ana pesa za kawaida tu ukilinganisha na wanasiasa wengi hapa tz .. Sema yeye anapenda sho off nyingi sio kitu kibaya ni pesa zake... Wanamuziki wengu wanamuimba jak pemba.... Fm academia na wengine..