Hivi ITV nayo imekuwa kitengo cha propaganda?

Hivi ITV nayo imekuwa kitengo cha propaganda?

damcon

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
214
Reaction score
72
Kwa mtu mwenye consistence check katika habari za ITV kuanzia taarifa ya saa mbili jumapili usiku waliikaushia taarifa ya TISS kuhusishwa na kuwawinda kimauwaji viongozi wa chadema.leo jumatatu asubuhi ndo kilikuwa kichekesho cha mwaka usomwaji wa vichwa vya magazeti kikawaida huwa wanaanza na nipashe lakini cha ajabu msomaji alianza na uhuru akamalizia na magazeti ya kiingereza na akayaacha nipashe,tanzania daima na mwananchi lakini kilichoniacha hoi katika habari za nyuma za michezo alisoma hayo magazetiya nipashe,mwananchi na tanzania daima.sasa nachojiuliza ITV nayo ishanunuliwa na mafisadi au Mengi ndio kunguru mwoga kakimbiza bawa lake?
 
ITV ni sehemu ya IPP media, kama ilivyo nipashe. kama nipashe imeandika sioni kama kuna deliberate coverup.
 
mtawaona wasio wenu mwisho ukikaribia maana watajipambanua, na hapo ndipo ukombozi utakapofika.
 
Yawezekana msimamizi wa kipindi ndo kaamua hivyo kwa maslahi yake binafsi sio lazima m/kiti mtendaji. Ila najua Joyce Mhavile anajikomba mno kwa magamba.
 
Back
Top Bottom