YESSAYA I. JR.
Senior Member
- Oct 22, 2012
- 152
- 15
Mh. hakuna mtu anayeweza kushindana na upepo wa mabadiliko na hii haijalishi mabadiliko mazuri au mabaya. Mabadilko yalianza karne nyingi zilizopita na sasa tanzania ni mabadiliko ya kidemokrasia kwanza na maendeleo yatafuata. usidanganywe na watu walio na uwezo mdogo wa kuchambua watanzainia ndio majaji tunaoona ukweli halisi. NAOMBA WATANZANIA TUTENDE HAKI 2015, USHAHIDI WOTE UNAONYESHA WAZI KUWA TUNAHITAJI MABADILIKO YA HARAKA