Hivi itakuaje siku Ukifa ile hela yako uliyokuwa unatoa sadaka kanisani/msikitini ndio hela yako ya matumizi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Eti wakuu hivi itakuaje siku Ukifa na kwenda mbinguni ukute ile hela yako uliyokuwa unatoa sadaka kanisani/msikitini au kwa watu wasiojiweza umetunziwa na ndio pesa yako ya matumizi?

Vipi kwako itatosha kutumia kwa muda gani?

Mimi kwangu nafikiri itatosha breakfast tu ya wiki moja.
Ngoja nianze kwenda kutoa sadaka sasa kwa future yangu.

Cc Zero IQ
 
Zero IQ umewaza mbali Sana...Km jina lako:D:D:D ngoja na mm nianze kuongeza fungu la sadaka..
 
Hivi Sadaka inatolewa kwaajili ya
Viongozi wa dini au kwaajili ya Mungu?
Inategemea na wewe mtoaji imani yako.

Km unahisi sadaka yk inaishia kwa viongozi wako wa dini basi itaishia hapo,

km unaisi unatoa sadaka Kama Mungu alivyoagiza basi wafanya vyema.
 
Eti wakuu hivi itakuaje siku Ukifa na kwenda mbinguni ukute ile hela yako uliyokuwa unatoa sadaka kanisani/msikitini au kwa watu wasiojiweza umetunziwa na ndio pesa yako ya matumizi?

Vipi kwako itatosha kutumia kwa muda gani?

Mimi kwangu nafikiri itatosha breakfast tu ya wiki moja.
Ngoja nianze kwenda kutoa sadaka sasa kwa future yangu.

Cc Zero IQ
Andiko la Mhubiri 9:10 linasema hivi: “Hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi, mahali unapokwenda.” Biblia hueleza pia kinachowapata wanadamu na wanyama wanapokufa. Inasema: “Wote wanaenda mahali pamoja. Wote wametoka katika mavumbi, nao wote wanarudi mavumbini.”— Mhubiri 3:20 .

Na unadhani wafu wako katika hali gani?

“Roho yake hutoka, naye hurudi kwenye udongo wake; siku hiyo mawazo yake hupotea.”— Zaburi 146:4 .
 
Hujanielewa swali langu. Ni yupi anayenufaika na sadaka inayotolewa kati ya Mungu na viongozi wa dini? Unataka kuniambia zile sadaka zinazotolewa zinamfikia Mungu?
 
bADO KUTAKUA NA KUONEANA MAANA WAPO SAIVI WANAOTOA SADAKA NYINGI ILA WAMEZIPATA KWA NJIA AMBAYO HAIPENDEZI...HUO MFANO WAKO UNGEKUA UNA MAANA KAMA TU WANAOTOA SADAKA WATAKUA WANATOA TOKA MOYONI..HUKO MBELE NDIO KIZAA ZAAA.
 
Jamaa kawaza kama imagination tu ila
KUNA MAISHA BAADA YA KUFA

HERI WAFU WAFAO KATIKA BWANA TANGU SASA!

16.Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.

17 Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
~ 1Thessaloke 4:16-17

Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
~ Ufunuo14:13

Naja upesi. Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako.~

Ufunuo 3:11

KUMBUKA:
...Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia; tubuni, na kuiamini Injili.~Marko 1:15
Andiko la Mhubiri 9:10 linasema hivi: “Hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi, mahali unapokwenda.” Biblia hueleza pia kinachowapata wanadamu na wanyama wanapokufa. Inasema: “Wote wanaenda mahali pamoja. Wote wametoka katika mavumbi, nao wote wanarudi mavumbini.”— Mhubiri 3:20 .

Na unadhani wafu wako katika hali gani?

“Roho yake hutoka, naye hurudi kwenye udongo wake; siku hiyo mawazo yake hupotea.”— Zaburi 146:4 .
 
bADO KUTAKUA NA KUONEANA MAANA WAPO SAIVI WANAOTOA SADAKA NYINGI ILA WAMEZIPATA KWA NJIA AMBAYO HAIPENDEZI...HUO MFANO WAKO UNGEKUA UNA MAANA KAMA TU WANAOTOA SADAKA WATAKUA WANATOA TOKA MOYONI..HUKO MBELE NDIO KIZAA ZAAA.
Safi sana, umefikiria nje ya boksi
 
Eti wakuu hivi itakuaje siku Ukifa na kwenda mbinguni ukute ile hela yako uliyokuwa unatoa sadaka kanisani/msikitini au kwa watu wasiojiweza umetunziwa na ndio pesa yako ya matumizi?

Vipi kwako itatosha kutumia kwa muda gani?

Mimi kwangu nafikiri itatosha breakfast tu ya wiki moja.
Ngoja nianze kwenda kutoa sadaka sasa kwa future yangu.

Cc Zero IQ
Inahusisha na Pesa ya kuonga mademu au ? maana nayo ni kama Sadaka tu..
 
Back
Top Bottom