Hivi, Inzi wanalala wapi usiku?

HALCYON311

Member
Aug 23, 2014
27
20
rexfeatures_1423212a.jpg
 
Hivi ni kweli wanaishi siku 7 kisha wanakufa?

Wanajamiiana saa ngapi, mayai yakomae waangue watoto kisha wafe?
 
nzi,mende,mmbu,sisimizi nikiwaona naskia hasiraaaaaaaa

wanajua nachowafanyaga tena nnzi ndo nikiwadaka wananikomaga.

Itakua hua unawachukua nzi unawaweka ndani ya mfuko wa barafu,unadumbukiza na dushe kwny mfuko huo then wale nzi walioko ndani ya ule mfuko wana act kama catalyst.
 
Jamaa kauliza swali zuri saana lakini majibu ya hovyo kabisa
Ni swali fikirishi hili.

Kuna mdau anasema kwenye kamba za kuanikia nguo, yupo sahihi.

Pia hulala kwenye majani ya mimea, kingo za meza au ukuta kwa chini maana hulala wakiangalia juu.
 
Back
Top Bottom