Tunamsemaga mzungu vibaya ila hawa jamaa wapo mbali saana. Ile starlink ikija hapa mambo ni moto wa kuotea mbali.Starlink ndio kila kitu, Lakini kwa jinsi inavyo fanya kazi sidhani kama wanaweza kukubaliana na kufika muafaka na serekali.
Starlink hawana kona na wala haihitajiki ofisi yao iwepo Tz ili ifanye kazi.
Kwa hili sidhani kama wana weza pewa ithibati.
Mateso ya voda, airtel n.k tutayasahau.